Mwambie yeye ni mrembo kuliko wote...

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
huu wimbo uligongwa enzi hizo za sherehe yangu kubwa ya pili (Kufunga ndoa) si mnakumbuka sherehe ya kwanza ni kuzaliwa? Nasikitika tu nimebakiza sherehe moja tu (kufa) hakika huu wimbo nikiusikiliza nikivuta picha ya enzi hizo lazima nimsamehe tu mamsup wangu (except kosa moja tu) .....??

Kwenye list wimbo ni number 4 unaitwa miss Tanzania...

Gonga hia

Najua mishahara haijaongezwa ila msikonde..burudika tu:smile-big:
Wafanyakazi wameahidiwa nini na mkulu kwenye hotuba yake! Naona kama amewachenga kimtindo. Lakini pia amesema gap la kipato kati ya matajiri na watu wengine ni kubwa sana na ameonekana anasikitika. Mimi naomba aondoe gap kati yangu na Riz 1.
 
Ahhhh!!ni song za ukweli thou bibi yangu ndio amezifurahia sana hahahahahahaaaaa thnx mkuu.
 
huu wimbo uligongwa enzi hizo za sherehe yangu kubwa ya pili (Kufunga ndoa) si mnakumbuka sherehe ya kwanza ni kuzaliwa? Nasikitika tu nimebakiza sherehe moja tu (kufa) hakika huu wimbo nikiusikiliza nikivuta picha ya enzi hizo lazima nimsamehe tu mamsup wangu (except kosa moja tu) .....??

Kwenye list wimbo ni number 4 unaitwa miss Tanzania...

Gonga hia

Najua mishahara haijaongezwa ila msikonde..burudika tu:smile-big:
Wafanyakazi wameahidiwa nini na mkulu kwenye hotuba yake! Naona kama amewachenga kimtindo. Lakini pia amesema gap la kipato kati ya matajiri na watu wengine ni kubwa sana na ameonekana anasikitika. Mimi naomba aondoe gap kati yangu na Riz 1.

Hee hee hee. Hakuwa miss tanzania?
 
Back
Top Bottom