Mwamaume wa Ukweli Hutumia Dume!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Kuna watu watanishangaa sana kwanini nimeweka hii Thready lakini ujumbe umefika! na kama kuna ambaye amechukia basi achukie!

17252476329228314443
 
halafu ukichunguza hayo maneno yana utata hiyo sentensi imekatika au kila neno linajitegemea
je ni wanaume wanaotoka sehemu inayoitwa kweli hutumia dume
au wanaume waaminifu? yani wasiosema uongo
au wanaume wa ukweli?
 
mbona DUME la kuku, samaki, mwanadamu, nyani n.k hawana mapembe, Iron Lady anaweza kuwa sahihi tehe tehe tehe!!!

umeona eheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yani tangazo lina utata mtupu
 
kudesign matangazo ya biashara ni fani na watu husome kwa kazi hiyo tu. kuna tangazo moja la sigara linaonesha familia inatazama tv kwa furaha hakuna sehemu yoyote penye sigara sasa wasiojua kusoma inaweza kuleta shida kuelewa kwa haraka.
 
Ni kweli hayo usemayo Iron Lady! Matangazo ya biashara ni fani kwa mfano hembu angalia na hili tangazo halafu nipeni jibu!
funny_condom_commercial1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom