Mwalimu wa vichaa na wanafunzi wake...............

Ebwana eeeh hii thread ni best of the best tangu mwaka huu uanze!!!!!!!!! congrats, nimecheka sana yani ingawa nilikuwa nahuzunika dada yetu mpendwa mh Regia ametutoka!
 
Hahahahahaaaaa kweli hapa umekuwa ONLY83 dah wasalimie sana pale jamatini.
 
uwiiiiiiiiiiiiii, enough jamani. huyo chizi anamawazo ambayo hata mimi mtu mzima sijawahi kuwaza. lol huyo chizi fresh
 
big up kwa aliyedesign inavyoonesha ulikuwa ufukweni huku njaa ikimuuma!
 
"..............Teacher wa vichaa aliwapeleka wanafunzi wake baharini wakarelax,chizi mmoja akawa amejitenga na wenzie,teacher akamuliza "we vipi mbona umekaa pekeyako",chiz akasema" napiga hesabu hii bahari ingekua supu ningetumia chapati ngapi".

Umenikumbusha hii.

Daktari wa vichaa, alianza kuwasifia client wake kuwa wote wamepona. Akawaambia kuwa kuna mtihan mmoja atakaye weza kuujibu ataruhusiwa kwenda kuungana na familia yake. Daktari akachora tundu kubwa karibu na mlango wa kutokea nje, halafu akaacha mlango wazi. Baadae akawaambia wagonjwa wale, atakaye weza kupenya kwenye tundu hilo na kutoka nje, basi yeye amepona na ataruhusiwa kwenda nyumbani.

Vichaa wote wakavamia ukutu huku kila mmoja akijitahidi awe wa kwanza kutoka nje. Kichaa mmoja yeye alikaa pembeni akawa anawaangalia kwa makini wenzake. Alipoulizwa kwa nini yeye hajishugulishi na kutoka nje, almjibu mwalimu wake, wakiisha wote yeye atapita kiulaini

tehe tehe tehe....
 
siku moja ndege ilipita angani katika ground ya machizi. wawili wakaanza kushindana.
chizi 1: ile ndege ni ya mzungu.
chizi 2: LA! ile ndege ni ya rais.

baada ya kushindana kwa muda wakaenda kwa chizi wa 3 ambae alichukuliwa kama kaponapona hivi.
Akawauliza
chizi3: hivi nani aliyesema ile ndege ni ya rais?
chiz 1: ni huyu hapa.
chizi 3:basi amekosa. ile ndege ni ya mzungu. kama ingekua ya rais UNGEONA MAPIKIPIKI MBELE YAKE!!!!:canada:
 
Back
Top Bottom