level gani? Chuo au secondari.weka pia na contact
Una shahada ya fani gani?
nina shahada ya uchumi mkuu.
umeipatia chuo gani?
umeipatia chuo gani?
nimeipata chuo kikuu cha dodoma.
kwa nin umependa kuwa mwalimu kuliko kufanya kazi inayoendana na fani yako?