Mwalimu wa mwalimu nyerere afariki dunia

RIP mwalimu wa mwalimu,mwambie mwalimu kuwa nchi inateketea...yule ambaye hakutaka aongoze nchi sasa hivi anateketeza nchi..ameanzisha msitu maalum kwa watu wanaopinga serikali na kudai haki zao..Mabwepande..kauza Ikulu kwa kununuliwa suti.

Amwambie pia ikulu yake imegeuzwa pango la walanguzi.
 
Peleka maoni yako kwenye jukwaa la imani na dini huku hayatuhusu..Uislaam ni wako na wala hatuuhitaji!
Hilo ni tatizo la ndugu zetu wa Kikristo, badala ya kuingia kwenye Peace (Islaam) wakiwa hai, wao wanaombeana wakapumzishwe kweye Uislaam wakiwa wafu.

Qur'an 2:208
O you who believe, enter into peace, all of you, and do not follow the footsteps of the Satan. (2:208)

208. Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi.

Hapo sasa!
 
Hivi zile tuhuma kwamba mkapa alimuua Nyerere zimeishia wapi? Mbona kimya sana.
 
Hilo ni tatizo la ndugu zetu wa Kikristo, badala ya kuingia kwenye Peace (Islaam) wakiwa hai, wao wanaombeana wakapumzishwe kweye Uislaam wakiwa wafu.

Qur'an 2:208
O you who believe, enter into peace, all of you, and do not follow the footsteps of the Satan. (2:208)

208. Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi.

Hapo sasa!

kule kwenye mito ya pombe na wanawake wazuri wenye macho kama vikombe??
 
R.I.P mr.mwalimu,nenda kwa amani maana masikio yako yamesikia aliyemuua kiongozi na mwanafunzi wako.Mungu akupumzishe mahali pema peponi.
 
kule kwenye mito ya pombe na wanawake wazuri wenye macho kama vikombe??

R.I.P ndio nini?

Uislaam ni huu:

[Arabic 'isl
amacr.gif
m, submission, from 'aslama, to surrender, resign oneself, from Syriac 'a
scaron.gif
lem,to make peace, surrender, derived stem of
scaron.gif
lem, to be complete; see
scaron.gif
lm in Semitic roots.]
Source: Islam (Concept) - definition of Islam (Concept) by the Free Online Dictionary, Thesaurus and Encyclopedia.

Sasa nyinyi kwanini mnataka mkifa ndio muwe Waislaam mkiwa hai hamtaki, mmeshajiuliza hilo? au ndio kondoo wa bwana mlivyo? kila mnavyoswagwa nyie haya!
 
Mwalimu James Irenge.jpg

HUyu ndiye Mwalimu James Irenge. Mwalimu wa Mwalimu Nyerere. Picha hii ni ya Novemba, 2012 akiwa katika Shule ya Msingi Mwisenge wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Hapo Mwisenge ndipo alipomfundisha mwalimu kati ya 1934-1936.

Kalale pema peponi Mwalimu J.I
 
"amani yangu nawapeni...nitoavyo mimi si kama ulimwengu utoavyo...", "tafuteni kuishi kwa amani na watu wote.." ni maneno ya bwana mkubwa htuna haja ya ku quote definitions from the dictionaries
 
Jibu swali wacha kuchakachuwa.
 
RIP Mwl
Salaam zetu umfikishie MWL mwenzio DANIEL KIRIGINI mliesaidiana na kumpa Kambarage Maarifa na hekima yote
 
View attachment 59487

HUyu ndiye Mwalimu James Irenge. Mwalimu wa Mwalimu Nyerere. Picha hii ni ya Novemba, 2012 akiwa katika Shule ya Msingi Mwisenge wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Hapo Mwisenge ndipo alipomfundisha mwalimu kati ya 1934-1936.

Kalale pema peponi Mwalimu J.I

Mkuu cheki vema hiyo red.
Hata hivyo, Kalale unapostahili Mwalimu. Ukionana na Julius, mwambie vijana wengi hawafundishiki na kwenye mitihani ya kuhitimu majibu yao ni tungo za mziki. Yaani ni vituko kuanzia chini na baadhi ya walioko juu. Lakini bado tunaamini atakaevumilia mpaka mwisho ataokoka.
 
View attachment 59487

HUyu ndiye Mwalimu James Irenge. Mwalimu wa Mwalimu Nyerere. Picha hii ni ya Novemba, 2012 akiwa katika Shule ya Msingi Mwisenge wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Hapo Mwisenge ndipo alipomfundisha mwalimu kati ya 1934-1936.

Kalale pema peponi Mwalimu J.I

Novemba 2012???????? Kudadadeki!
 
Back
Top Bottom