Mwalimu wa mwalimu nyerere afariki dunia

Maseto

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
944
545
Mwalimu wa Nyerere, James Irenge, amefariki dunia muda mfupi uliopita hapa Musoma. Itakumbukwa kwamba Mwalim Irenge hivi karibuni alimuunga mkono Mh.Vicent Nyerere juu ya tuhuma za kifo cha Mwalim Nyerere kuwa kilisababishwa kwa makusudi na Mhe. Mkapa.
 
RIP babu yetu pia tumshukuru Mungu kwa kuwa umeona mengi na umri ulijaaliwa pumzika kwa amani ya bwana tuko nyuma yako wote tutakutana mbele ya hukumu ya haki,
 
Mwalimu wa Nyerere, James Irenge, amefariki dunia muda mfupi uliopita hapa Musoma. Itakumbukwa kwamba Mwalim Irenge hivi karibuni alimuunga mkono Mh.Vicent Nyerere juu ya tuhuma za kifo cha Mwalim Nyerere kuwa kilisababishwa kwa makusudi na Mhe. Mkapa.

Ikiwa huyo Mwalim ana mawazo namna hiyo, si hasha mwanafunzi wake kuipeleka nchi kwenye lindi la umaskini.
 
Kirefu cha R.I.P plz!

Hilo ni tatizo la ndugu zetu wa Kikristo, badala ya kuingia kwenye Peace (Islaam) wakiwa hai, wao wanaombeana wakapumzishwe kweye Uislaam wakiwa wafu.

Qur'an 2:208
O you who believe, enter into peace, all of you, and do not follow the footsteps of the Satan. (2:208)

208. Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi.

Hapo sasa!
 
RIP mwalimu wa mwalimu,mwambie mwalimu kuwa nchi inateketea...yule ambaye hakutaka aongoze nchi sasa hivi anateketeza nchi..ameanzisha msitu maalum kwa watu wanaopinga serikali na kudai haki zao..Mabwepande..kauza Ikulu kwa kununuliwa suti.
 
Ikiwa huyo Mwalim ana mawazo namna hiyo, si hasha mwanafunzi wake kuipeleka nchi kwenye lindi la umaskini.

Una umasikini wa mawazo wewe,watu km wewe ndo wanatawala nchi hii ndio maana haiendelei.tumia ubongo wako sawasawa kabla ya ku-argue anything.
 
Back
Top Bottom