Mtangi mtangi
Member
- Oct 25, 2011
- 13
- 0
Anahitajika sana same mshahara laki sita piga simu namba 0712765010
Anahitajika sana same mshahara laki sita piga simu namba 0712765010
What I know from my experience in teaching this subject exercise lazima utoe kila kipindi unachoingia darasani na usahihishe hiyo exercise na ufanye masahihisho kabla ya kipindi kipya kwani hesabu tunajifunza kutoka simple to complex sasa ebu tuangalie leo hii Tanzania nani anafanya haya nimeona walimu wengi sasa wanafundisha hesabu kwa kutumia lecture method mwanafunzi ataenda kukumbana na maswali wakati wa mtihani bila kujua kama concept flani ilieleweka au vipi.Because mathematics is nothing but it is a bag full of techniques kwa hiyo several times mwanafunzi inatakiwa agundue techniques hizo kwa kupewa maswali na kuona where is mistake and why?Sasa unasoma hesabu kama gazeti unategemea nini na walimu hawafanyi haya kwa vile wanalipwa kidogo bora liende.Nilifanya shule moja ya private niliwapa masharti ya mshahara kwamba watanilipa kutokana na kazi nayofanya walinilipa kweli hiyo pesa baada ya miezi kumi wakasema hawana uwezo wa kuendelea kunilipa pesa hiyo.Mwezi uliofuata nikawaaga wakapata mwalimu anayetoa lecture notes waliona impact yake.Wakanipigia tena simu niende watanilipa hiyo hela nikawajibu sasa sipo kwenye huo ulimwengu nipo sector nyingine.Kwa hiyo watu wajue walimu wa hesabu siyo kwamba hawapo wapo wengi but ili somo linahitaji kuwa serious kwa hiyo kupata mwalimu siyo shida sida ni je atafundishaje?Form four asilimia kubwa wanapata F ili somo na wanafundishwa wanakava syllabus what is the problem they are poor in solving tecniques that where problem starts