Mwalimu wa Madrassa alawiti mwanafunzi wake..!

Status
Not open for further replies.
Huko Misri wameruhusiwa mpaka kuziingilia maiti za wake zao,bado tu hawatosheki!wanataka kuruhusiwa na V**mbio vya watoto heee!!

Hii siwezi kuiamini............!!

Haiwezekani!

Kama ni ni kweli ntakuwa na uhakika wa jambo fulani hivi......!!

.......
 
kuna watu wa ajabu sana....
Swala serious kama hili watachangia kwa ushabiki wa kidini, na kusahau haijalishi wewe dini gani, haijalishi kama una dini au hauna, kitendo hiki si sahihi na kimemwathiri mtoto.......
 
Abdulhalim bin Njelenje bin Juma bin Zaccharia is not related nor affiliated with ANY of your man-made, colonial cults. Pole sana Mbumbumbu, your pen-name says it all.

Kila la heri mkuu, that is how a reasonable man ought to be. We ni kichwa sana. Keep it up! Nikudokezee sasa kuwa...Mungu wetu aliye hai anaita sasa! Tujitahidi kuwatoa ndugu zetu kwenye minyororo hiyo, ni sumu ya ustawi wetu.
Mungu wetu anaita!
 
natarajia bakwata kutoa tamko la kulaani tukio hili, pia kuwatoa hofu waumini na kuwaomba wawapeleke watoto wao madrasa wakapate ilmu akhera. kwiiii kwii kwi!
Devidi kameruni anafuraha sana kwa kusaidiwa kampeni yake.
 
mimi ningekuwa mod hawa wadini ningewapa ban ya milele,kama hapa wanatujazia thread tu kwa huu udini wao,badilikeni jaman.
 
mh,hawa wenzetu...!wenye kuthamini midevu na vipedo hatari sana,Mungu awasamehe

Kama wale wanaovaa makofika makuuubwa na makanzu mareeefu, hawataki kuoa kwa kisingizio dini imeamrisha hivo lakini badala yake wale madada wanaowahudumia siwataji majina ndio wanakuwa CHAKULA YAO! NA WALE WATOTO WANAUKUWA MAFUNZONI! kama yule Kimaro alokutwa ndani ya gari pale Mlimani! na baya zaidi baadhi ya madhehebu YANAHALALISHA NDOA ZA JINSIA HIYO YA KIUME NA KWENDA MAAABLI ZAIDI KWA WAKUU WA DINI KUOA ! yaani wale wanaochunga kondoo! duh! what a shame!!!!! Sodoma na gomora !
 
mimi ningekuwa mod hawa wadini ningewapa ban ya milele,kama hapa wanatujazia thread tu kwa huu udini wao,badilikeni jaman.

HAwa MOd wakiona kitu cha dini hii wanakiacha watu watukane , ingekuwa ya Padre hapa ungeona mara moja imefungwa ! SIONI AJABU ! mbona wakuu wa dini zenu WAMEHALALISHA NDOA YA JINSIA MOJA NA INAFUNGWA KANISANI ! napoabudiwea Mungu baba na mwana na rho mtakatifu ! ajabu ipo wapi?
 
natarajia bakwata kutoa tamko la kulaani tukio hili, pia kuwatoa hofu waumini na kuwaomba wawapeleke watoto wao madrasa wakapate ilmu akhera. kwiiii kwii kwi!
Devidi kameruni anafuraha sana kwa kusaidiwa kampeni yake.

David Cameroon DINI GANI ?
 
kuna watu wa ajabu sana....
Swala serious kama hili watachangia kwa ushabiki wa kidini, na kusahau haijalishi wewe dini gani, haijalishi kama una dini au hauna, kitendo hiki si sahihi na kimemwathiri mtoto.......

Ni kweli, ila kuna kauli zinakera sana! watu badala ya kuchangua in human rights wao wanaanza kashfa! hatuwezi KUNYAMA KAMWE ! ... hakuna anaependa haya yatokee na hasa ukifikiria na wewe una watoto, VITENDO HIVI VINALAANIWA NA HATA KWENYE MISAHAFU YETU AL -QURAAN VIMEKATAZWA\A WAZI WAZI, na Mtume wetu ameenda mbali ya hayo madevu kufugwa ili mwanaume asifanane na mwanamke ambayo itampelekea mwanaume mwengine kumtamani mwanaume ! lakini watu wamekalia chuki na kikashif uislamu na Mods wanaangalia tu ! HUYU AFUNGWE NA ASIUDI KATIKA JAMII... MIMI KAMA MUU'MIN WA KIISLAMU NAPINGA VIKALI na ningependa nione mtu huyu ANANYONGWA !
 
Huko Misri wameruhusiwa mpaka kuziingilia maiti za wake zao,bado tu hawatosheki!wanataka kuruhusiwa na V**mbio vya watoto heee!!

Kama ilivo dini yaCameroon inavoshabikia mambo hayo! kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo !
 
Itafika mahali wazazi tutashindwa kuwaruhusu watoto wetu kwenda kufundishwa dini, HUYU APEWE ADHABU KALI SANA MANA WAMEZOEA

angel msoffe,,,,,,,ni umasikin na kuterekeza majukumu,,,,,vishule vya uchochoron,,,,vya vijiiman hali waviendeshavyo ni waganga njaa si wanaiman unampeleka mwanao,,,neda shule za private boarding za wasichana zinazookoteza waalimu ,,utashangaa ,,,walimu ni kuoa tu,, wewe upo hom unakazana kusaka ada,,,inauma sana,,,,,vivuli vya dini kupata wateja,,then ngono rahisi,,sasa ufiraun,,,,na hawa jamaa hawa,,,yaan wanamaindi hilo eneo,,,,
 
Kila la heri mkuu, that is how a reasonable man ought to be. We ni kichwa sana. Keep it up! Nikudokezee sasa kuwa...Mungu wetu aliye hai anaita sasa! Tujitahidi kuwatoa ndugu zetu kwenye minyororo hiyo, ni sumu ya ustawi wetu.
Mungu wetu anaita!
Abdulhalim bin Njelenje bin Juma bin Zaccharia bin Mwalimu is not a kichwa bwashee. Nakubali kwamba jamii yetu bado ina u-savage wa kifikra unaotokana na hizi imani za kikoloni. With time, savagery will disappear bcoz relevance ya hizi dini nayo ita-undergo natural death. Lets hope jamii yetu izidi kuelekea usomi na ku-embrace maendeleo ya kisayansi na kuwa na fikra mpya na sahihi zaidi.
 
Mkuu,

Taabu ni kwamba tumechukua imani za watu pamoja na mila na desturi zao sisi tunachanganya na kuona ni njia sahihi za

kutufikisha kwnye makazi ya milele!!.........

Kuna mambo yetu hasa ya maadili tulikuwa nayo wa afrika, lkn wakaja wajomba....

Tukayaacha yooote!!!!!
 
Dini zao wamehalilisha kabisha tena inafungwa kanisani.Huyo said ramadhani ni Joseph koni wamebadilisha jina
 
Muda huu napitia pitia hoja mbalimbali JF huku nasikiliza radia mlimani fm,
Kuna habari imetangazwa kuwa ..maenea ya Kibada Kigamboni, mwalimu mmoja wa Madrassa anaeitwa Saidi Ramadhani anashikiliwa na jeshi la polisi Temeke kwa kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume ambaye pia ni mwanafunzi wa darasa la pili!!

Jamani nchi yetu inaelekea wapi!! mtu anawafundisha watu dini huku anawalawiti! ah!! nchi hiikina jk wanatusumbu na mijitu mingine pia inaonyesha Ushetani wa ajabu!! mtoto wa darasa la pili!! lawisheni!!

Hawa walimu baadhi yao mafedhuri kweli wanachezea sana tiGo za watoto
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom