Mwalimu wa Madrassa alawiti mwanafunzi wake..!

Status
Not open for further replies.

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,323
6,810
Muda huu napitia pitia hoja mbalimbali JF huku nasikiliza radia mlimani fm,
Kuna habari imetangazwa kuwa ..maenea ya Kibada Kigamboni, mwalimu mmoja wa Madrassa anaeitwa Saidi Ramadhani anashikiliwa na jeshi la polisi Temeke kwa kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume ambaye pia ni mwanafunzi wa darasa la pili!!

Jamani nchi yetu inaelekea wapi!! mtu anawafundisha watu dini huku anawalawiti! ah!! nchi hiikina jk wanatusumbu na mijitu mingine pia inaonyesha Ushetani wa ajabu!! mtoto wa darasa la pili!! lawisheni!!
 
Huyo ilikuwa awe Mwalim wa Sunday School kakosea njia, aadhibiwe Kiislaam.
 
mh,hawa wenzetu...!wenye kuthamini midevu na vipedo hatari sana,Mungu awasamehe
 
Muda huu napitia pitia hoja mbalimbali JF huku nasikiliza radia mlimani fm,
Kuna habari imetangazwa kuwa ..maenea ya Kibada Kigamboni, mwalimu mmoja wa Madrassa anaeitwa Saidi Ramadhani anashikiliwa na jeshi la polisi Temeke kwa kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume ambaye pia ni mwanafunzi wa darasa la pili!!

Jamani nchi yetu inaelekea wapi!! mtu anawafundisha watu dini huku anawalawiti! ah!! nchi hiikina jk wanatusumbu na mijitu mingine pia inaonyesha Ushetani wa ajabu!! mtoto wa darasa la pili!! lawisheni!!
Ni yale yale ya mapadre wa kikatoliki kuwalawiti vijana wahudumu wa kanisa, mpaka ikamfanya papa aombe radhi dunia ! Unamkumbuka Padre Kimaro !?
 
yaani hapo utakuta anawake wawili na vimada wa tatu halafu unanajisi mtoto wa watu halafu mvulana alaaniwe pia auwawe na kufungiwa jiwe ili atupwe katika ya bahari..
 
Itafika mahali wazazi tutashindwa kuwaruhusu watoto wetu kwenda kufundishwa dini, HUYU APEWE ADHABU KALI SANA MANA WAMEZOEA
 
Huko Misri wameruhusiwa mpaka kuziingilia maiti za wake zao,bado tu hawatosheki!wanataka kuruhusiwa na V**mbio vya watoto heee!!
 
mungu tunusuru na hizi dhambi. na hapo ni mtu wa dini sasa je hawa mashetani wakoje?
 
Wenyewe kwa wenyewe wafuga madevu ka fagio.. Wavaa vipedo.. Abdulhalim umemjibu osama mwenzako hapo juu. Nahisi hukujua... Hahahahaha!
Abdulhalim bin Njelenje bin Juma bin Zaccharia is not related nor affiliated with ANY of your man-made, colonial cults. Pole sana Mbumbumbu, your pen-name says it all.
 
Ni yale yale ya mapadre wa kikatoliki kuwalawiti vijana wahudumu wa kanisa, mpaka ikamfanya papa aombe radhi dunia ! Unamkumbuka Padre Kimaro !?

Siku utakapoacha kutetea dhambi kwa dhambi utakuwa umeelimika. Siku utakapo kemea uovu wa mwanadini mwenzio utakuwa umestaarabika. Maranyingi hojazako zinatia kinyaa.
 
Hivi wanaoongelea mambo ya udini kwenye hii thread wanajua athari atazopata huyu mtoto ambazo atadumu nazo maisha yake yote au wanawaza kuanzisha tu mihadhara ya majibizano ambayo haina mbele wala nyuma.
Hebu tujifunze kuangalia mambo bila kuwa biased anayetuhumiwa kulawiti ni binadamu mwenye jina Said Ramadhani ambaye akikutwa na hatia atapata adhabu stahili.That is all there is to it.
Tukue kifikra jamani acheni haya mambo.Inatia simanzi sana kuona huu ufinyu wa upeo.
 
Mods naomba tafadhari watu hawa watendewe sawasawa na mapenzi yako ribosome, ally kombo na mbumbumbu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom