Mwalimu wa computer anatafuta kazi!!

mahwela

Member
Aug 18, 2011
5
2
Ndugu watanzania wenzangu, mim ni Graduate, nina bachelor ya computer science (BCS)..nina interest na uwezo wa kufundisha masomo ya computer kwenye shule/vyuo...kwa anaehitaj mwalimu wa computer plz tuwasiline kwa no 0714141815. Akhsanteni....
 
Back
Top Bottom