Mwalimu v/s nesi

Angalia mwenye mshahara mkubwa
Hahaha! haujatulia weye.

Hii naona imekaa ki-joke zaidi,kuna ile joke kati ya mwalimu na nesi utaoa nani ? jibu nitaoa mwalimu tukikosea kitu kwenye 6 * 6 anahakikisha mnarudia mpaka mpatie.

Wana JF naombeni ushauri wenu kati ya hawa (mwalimu,nesi) ni yupi anafaa kuoa? & why?

Mwalimu anafaaa zaidi ya wanawake wa profession nyingine ikiwamo u'nurse. Wanajua sana malezi ya watoto na baba yao!

Muda huu naandika hii thread yupo job. Napigwa na barid mbaya mablanket hayanisaidii. We unasema sio issue
Sijakuelewa..kama sikosei huyu ni mchumbaako tu..sasa hii habari ya mablanket inakujaje hapa?....au mnamegana kisela...wewe komaa naye tu...nawapenda kwa sbb ya vimini vyao!

Siyo ivyo wanajamii mm nina mchumba ambaye ni nesi ila izi shift zake za night zinaniboa kweli. Na ndo maana nikaomba msaada wenu au ni mtafute teacher
Profession haina nafasi sana maadam mnapendana.......ila watu wengi wanapendelea walimu eti ni walezi wazuri tofauti na manesi ambao kazi yao inawaweka katika mazingira "hatarishi"

Sijakuelewa..kama sikosei huyu ni mchumbaako tu..sasa hii habari ya mablanket inakujaje hapa?....au mnamegana kisela...wewe komaa naye tu...nawapenda kwa sbb ya vimini vyao!
Ahahahahaaah!!! Mkuu kumbe vimini vya manesi vinakudatisha...

wote ni wazuri manake mwalimu atafundisha watoto kusoma na kuandik b4 hawajaanza shule, na nesi atakuwa anawatibu na kuwachoma sindano nyumbani. maybe uoe proffessions mbalimbali manake mhandisi atakusaidia kujenga, daktari atakutibu, mkulima atalima bustani za mbogamboga, mhasibu atasimamia hela zako, auditor pia. kwani limit yako ni wake wangapi vile?

Kama ni professional the list goes on kuna rubani, kuna fundi makenika, kuna lawyer,

Yap. Kama kawaida 2namegana kisela
Sijakuelewa..kama sikosei huyu ni mchumbaako tu..sasa hii habari ya mablanket inakujaje hapa?....au mnamegana kisela...wewe komaa naye tu...nawapenda kwa sbb ya vimini vyao!

Siyo ivyo wanajamii mm nina mchumba ambaye ni nesi ila izi shift zake za night zinaniboa kweli. Na ndo maana nikaomba msaada wenu au ni mtafute teacher
Why teacher na sio an accountant or secretary ect...

Siyo ivyo wanajamii mm nina mchumba ambaye ni nesi ila izi shift zake za night zinaniboa kweli. Na ndo maana nikaomba msaada wenu au ni mtafute teacher

kwa nini usiseme utafute mwingine, unasema utafute teacher?

Mkuu kamata teacher weka ndani, mm ni teacher bana, asikwambie mtu ukioa/kuolewa na teacher utafaidika na mengi kwanza utapata psychological treatment pale inapobidi mana tunafundishwa sana hilo chuoni.
Then malez ya watoto yanakua ktk mstari chunguza sana watoto wengi wa maticha shulen ni vichwa.
Fani nyingine unakuta mama muhasibu lkn mtoto kilaza mbaya.

Ila ukikosa kabisa tafuta hata mama lishe

Unatafuta vijakazi wa kuwatumikisha sio, mwalimu awe mwalimu wako milele, na nesi akuhudumie ukianza kuumwa manjegere au?

Back
Top Bottom