Mwalimu Tiution anahitajika

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,831
22,938
Nahitaji mwalimu wa kufundisha Tuition kwa mtoto wa darasa la saba English medium schools kwa somo la mathematics maeneo ya Mbezi ya Morogoro Road.Ni-pm kwa maelewano ya kulipana.
 
Mda gan wa kufundisha ,kwa kiasi gani pia ?
Anatoka shuleni saa 11 jioni ila ningependelea zaidi siku za j.mosi kwani haendi shuleni na nadhani ndio wakati mzuri zaidi,kama utakuwa tayari ni pm ili tupatane malipo.
 
Mkuu unakumbuka kumfunika mwanao kukiwa kushakucha? Kwa sasa siku zimebaki chache sana mpaka national
 
Mkuu unakumbuka kumfunika mwanao kukiwa kushakucha? Kwa sasa siku zimebaki chache sana mpaka national
Hata kama kumeshakucha wacha nimfunike walau alale kidogo,ni hivi mfumo wao uko tofauti kidogo na shule nyingine ambapo mwaka unaisha december,kwa wa kwangu mwaka unaisha august,yeye mwezi huu wa September ndio anaingia darasa la saba,nadhani utakuwa umenielewa au mpaka hapo bado unaniambia it's still too late.
 
mkuu mimi naweza kufanya hiyo kazi,ila ukitaka kunipata na tukaongea vizur njoo pale trafic light karibu na protea hotel oysterbay, opposite kuna jengo linajengwa JANGID PLAZA, ingia na uliza costantine bandiho utanipata,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom