Semenya
JF-Expert Member
- Sep 5, 2009
- 572
- 51
Tumaini
nakubaliana na wewe na dno kama nilivyosema hapo nyuma, kuwa jamaa hao akina butiku wanageuka kuwa kama an opposition party. si maanishi wasiikosoe serikali, hapana, wanarudia mambo ambayo yanasemwa na wananchi na vyama vya upinzani. wanatakiwa kufanya mambo mengi zaidi ya siasa. Sio tu kumuenzi mwalim, bali hata kuongeza zaidi aliyofanya mwalim. 'SIO KUSEMA SERIKALI YA SIKUHIZI INAKIUKA YA MWALIM'. Hayo ndo maneno yao daily wanayoyajua. hawana jipya kabisa jamaa.