Mwalimu Nyerere Wamlipua Kikwete

Sikonge, Mwanafalsafa, Bluray, Yetu macho, Ashavin na Mag3 nawashukuruni woote kwa michango yenu. After what you all said, nimeona sina sababu ya kuongeza chochote kwa sababu maoni yangu mmeyawakilisha vizuri kuliko hata vile mimi ningefanya. Big up!
 
..Mzee Butiku alipaswa kutoa madai haya mwaka 1995 au 2005 kabla ya uchaguzi.

..why didnt they speak out when everything was being played out right in front of their eyes?

..halafu hii ya kudai ati wamsaidie Raisi kuwaondoa wanamtandao ni kujidanganya tu. watamtenganisha na kumtofautisha vipi JK na watu/kikundi wanahusika moja kwa moja na kuchaguliwa kwake?

..sielewi ni mantiki gani anayotumia Mzee Butiku kuwakana wanamtandao, bila ya kumkana JK ambaye ndiyo mwana-mtandao nambari moja.

..kama mtandao hawafai basi hata Raisi aliyechaguliwa kwa juhudi za wanamtandao hafai.

NB:

..halafu mmesoma jinsi Jaji Joseph Warioba na Dr.Salim Salim walivyokuwa wakijaribu kumzuia Butiku asitoe madukuduku yake? sasa kama siyo UWOGA unaowasumbua hawa wazee ni kitu gani?

jokaKuu,
Hali ya sasa ni tofauti SANA na hali ya 1995. Kama Butiku angeyasema haya 2005 watu wangefikiria anampigia debe Salim kwa sababu alikuwa kambi hiyo. Lakini leo wakati ni muafaka kwa sababu mifano yote aliyoitoa kila Mtanzania ameiona na anaielewa. It is timely!
 
Huwapendi masheikh na walimu wa madrasa eh! weka issues wewe ni kilaza kwangu kuanzia madrasa, shule, chuo etc..i can bet..endelea kuchukia

yes iam sheikh, mwalimu wa madrasa, msomi na mfanyabiashara get your record you hater.

Done?
 
Sasa nadhani watu wataona kwa nini Nyerere alimpigia debe Mkapa. Mkapa might have been the wrong choice but mzee kwa wakati huo ndiyo aliona anafaa kutokana na wagombea wengine waliomzunguka. Mambo kama haya ndiyo ya kuanza kujua kabla hatujamlaumu Nyerere kuwa alimpigia debe "Mr. Clean".

The old man tried to do what he thought was right under the circumstances. Haya hata asingeingia Mkapa hali ingekua nafuu? Mbona kaondoka Mkapa mabo bado ni yale yale? History will judge Nyerere. Say what you want to say about the man but he loved his country.

Heshima kwako MwanaFalsafa1,

Nashukuru kwa bandiko lako,ningekuwa na uwezo ningewalazimisha wanajamvi wote walipitie kwa makini halafu watafakari.Mimi ni miongoni mwa watanzania wengi tuliokuwa tunamlaumu Mzee wa watu kumbe hakuwa na njia mbadala zaidi ya kumbeba Mr Clean.
 
Makundi yalianza 1995 mpaka sasa ndiyo yamekomaa kabisaa, kama si juhudi za Nyerere basi from there tungeanza kupata viongozi wa juu wasio na maadili, wanaotaka kuingia ikulu bila kuwa na strategic plan ya kuleta maendeleo na kutokomeza umasikini unaokula migongo ya watu kila siku.

Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki makundi dhahili yapo mawili sasa ni kundi lipi litashinda jingine hapo ndo mtihani - na ndani ya chama kila mtu ni msemaji na katika wasemaji hao pia kuna wapayukaji, waimba kwaya, ngojera, mashari na makungwi.

Kundi la mafisadi ( wengine wanaliita mwanamtandao) ni wajanja na wezi na wana pesa chafu lukuki na wengi wao wamo ndani ya dola, jingine ni la watu makini sana ila halina pesa chafu.

Cha kusikitisha hakuna ndani ya CCM Mtu kwenye nguvu ya kukemea ndo maana unasikia taarabu na mipasho kila kona hadi masikio yanauma - Mimi Natabiri kumeguka kwa Chama hiki kikubwa vipande viwili na so muda mrefu toka sasa. (Soma Ufunuo wa Nyerere)

Kama CCM haitameguka basi lazima kundi moja likubali yaishe (yaani liwe tumwa la kundi jingine) kitu ambacho hakiningii akilini kabisa.

Kwenye NEC - wanamtandao (mafisadi) wana nguvu ya ajabu wanaweza kabisa kuwaadhibisha hawa wanaojiita wapiganaji - lakini kufanya hivyo basi ni Mwisho wa CCM na hapo ndo tutapata nuru mpya na mapinduzi ya kweli.

Binafsi ningependa CCM imeguke ili tupate kundi safi litusaidie kuongoza kuongeza chachu ya kufikia maendelea kama taifai, kwa sasa CCM imebeba watu na viatu humo humo, yaani kuna watu safi na makini, pia mende hawakosi na ndo wa kwanza kutoa mashairi kwamba mafisadi hakuna ndani ya chama.

Watanzania tunakaribia kupata mapinduzi ya kweli - Alutaa
 
Sasa nadhani watu wataona kwa nini Nyerere alimpigia debe Mkapa. Mkapa might have been the wrong choice but mzee kwa wakati huo ndiyo aliona anafaa kutokana na wagombea wengine waliomzunguka. Mambo kama haya ndiyo ya kuanza kujua kabla hatujamlaumu Nyerere kuwa alimpigia debe "Mr. Clean".

The old man tried to do what he thought was right under the circumstances. Haya hata asingeingia Mkapa hali ingekua nafuu? Mbona kaondoka Mkapa mabo bado ni yale yale? History will judge Nyerere. Say what you want to say about the man but he loved his country.

I agree with you totally that mwalimu was a leader and not a ruler; he loved his country and its people till his last breath and I believe he knew what would happen after his departure and that is the reason it is alleged that he said "NAWAONEA HURUMA WATANZANIA WANGU' before he took his last breath. Mwalimu made mistakes like all human beings but his mistakes were genuine mistakes!!
 
...nilimsikia tyson original ..matteo Quaresi ...old buddie ...hakumkopesha jk....amemuambia asipokuwa makini one term will be just more than enough for Him....

lile kongamano lilionesha level ya frustration ya watu juu ya hali ya sasa nchini!
 
Wote hao watachonga saaaaaaaaaaaana JK anakula good time Quba kwa raha zake.

Hivi mmegundua JK suala ambalo ninyi mko serious nalo kwa maslahi ya nchi yeye kwake ni opposite?
 
Wote hao watachonga saaaaaaaaaaaana JK anakula good time Quba kwa raha zake.
Ivi mumegundua JK suala ambalo ninyi mko serious nalo kwa maslai ya nchi yeye kwake ni opposite

jana mlimuona alivyokuwa AKIPIGA PIGA PIGA MIAYO...wakati akipewa presentations kwenye kiwanda cha madawa..CUBA...nikasema du! huyu Wetu au UMARU ..AR" YARDUA...
 
nakubaliana yote na akinba butiku, lakini,hawaiendelezi M Nyerere foundation kama ipasavyo na watasingizia hawapati pesa za kutosha from gov. Kuna mambo zaidi ya hutuba wanaweza fanya......kama nilivyoeleza hapo nyuma hata kutoa scholarships za elim ya juu, japo tatu kwa mwaka they can do that for sure. Ila daily wao ni kuikandia tu serikali as if ndo kazi ya Mwali Nyerere Foundation.
 
Tanzanians Talk too much. We talk the walk and never walk the talk and then we boost ourselves that we walked the talk.

Tulivyopata uhuru tulikuwa na uchumi mzuri kuliko Malasia sasa wenzetu wako ulimwenga a pili sisi wa nne. What are we waiting for ? death?
 
hata mwalimu alikuwa haogopi kuikandia serikali yeyote duniani au kuisifia ...sembuse tanzania
 
Kina JB, SAS na JSW wana haki ya kusema wayajuayo kwa uwazi zaidi kwa faida yetu na kwa faida ya nchi yetu. Binafsi naamini JMK kipindi kimoja kinamtosha. Itakuwa ni uamuzi wa busara sana kama hatagombea mwaka ujao.
 
Phillemon Mikael
Elewa point yangu kaka nilivyoiandika, in short me siko impressed na hao jamaa, not because wanaikosoa Gov, hapana...hawafanyi kazi kwenye iyo foundation kama inavyotakiwa. Wameiturn foundation kuwa kama ka institution ka siasa wakati inatakiwa ifanye mengi sana kwa jamii, sio kutoa hutuba tu kila siku.
 
Tanzanians Talk too much. We talk the walk and never walk the talk and then we boost ourselves that we walked the talk.

Tulivyopata uhuru tulikuwa na uchumi mzuri kuliko Malasia sasa wenzetu wako ulimwenga a pili sisi wa nne. What are we waiting for ? death?

Tatizo letu sisi tunaongozwa na CCM ndiyo maana kamwe hatuwezi kuwa sawa na Malaysia!!!
 
Phillemon Mikael
Elewa point yangu kaka nilivyoiandika, in short me siko impressed na hao jamaa, not because wanaikosoa Gov, hapana...hawafanyi kazi kwenye iyo foundation kama inavyotakiwa. Wameiturn foundation kuwa kama ka institution ka siasa wakati inatakiwa ifanye mengi sana kwa jamii, sio kutoa hutuba tu kila siku.

Kwani mission statement yao inasemaje?Hata hivyo ni lazima wayaenzi yale mwalimu aliyokuwa akiyasimamia na kama mwalimu mwenyewe angekuwa na uwezo wa kuwaona basi angewapa a round of applause.
 
Mie kwa habari za karibu nafahamu kuwa Mwinyi alikuwa akisali sana na Nyerere pale St. Peters. Tukiwa wadogo na Tumaini tulikuwa tukiwaona wakisali wote pale. Na cha zaidi, Mwinyi alikuwa akitoka kilomita kama 8 na robo kutoka Butiama. Ukichunguza sana utaona Mwinyi pia alikuwa amechonga meno ila sema baba yake alikuja hamia Zenji wakati Mwinyi akiwa mdogo. Tumaini nasikia alibeba hadi mizigo yao wakati wakihama. Wakati huo alikuwa Punda. Alipokufa akazaliwa upya kama Tumaini.

Nasikia kuwa walikomunika pamoja na walikuwa marafiki wa karibu sana tangu wakati wa mafundisho ya kipaimara.
Natamani kama wakati mwingine hii chuki ya udini ingewatoka watu fulani humu jamvini ili waweze kuyaona yanayojadiliwa katika upeo tofauti.
 
..yaani ukiungwa mkono na Nyerere basi tayari umeshakuwa mkatoliki?

..hata mimi sikujua kuwa anaitwa 'alex hassan mwinyi.'

..au 'samuel ahmed samuel.'
 
Mkuu taasisi ya mwalimu Nyerere inahusiana vipi na masheikh?Ama nimepotea thread?lol!Hata hivyo give mwalimu a break,Rashid Kawawa naye mtu wake walisali naye St Peters ama?
Jibu kwanza post ya zungu..ndiyo ujibu yangu usiwe selective..yeye ndio ameanzisha mambo ya sheikh..mimi nikamjibu ok.

By the way hiyo faoundation ulishakosa mwelekeo tangu Mkapa aisusie...hawa viongozi wake hawajui maudhui ya foundation...wanapiga domo kama chadema,CUF and the like..
 
Back
Top Bottom