Mkuu, kama lugha ya kiingereza imekupiga chenga, ni vema usichangie. Kwani jiografia unayoijua haikuelekezi kwamba vipo visiwa vinavyokaliwa na watu katikati ya bahari? So even if he said I'd tow Zanzibar into the middle of the Indian ocean, he didn't mean he wanted to eliminate it from the surface of the earth.
Hivyo unafikiri hakuna Waingereza wasio na akili hivyo wasiweze kuamua context ya jambo? Pengine wewe huna tatizo la lugha lakini una taitzo la kufahamu maana ya kinachozungumzwa. Hivyo ipo haja ya yeye kuumizwa kichwa na kitu kisichomuhusu? kimbelembele chake ndicho kinacholeta matatizo haya yanayoonekana na utatuzi wake ni mdogo tu. To maintain the existing distance badala ya kukivamia hichi kisiwa.