Mwalimu Nyerere College Inahujumiwa!

hii habali ya uongo kwann jamaa anashindwa kutaja majina! Acha uoga wa kijinga taja majina tusafishe chuo cha mwalimu haraka.
 
Sasa hapa uongo ama uwoga? Na kama ni ya uongo, nikitaja majina ndio itageuka kuwa ya ukweli? Nimesema ukifika wakati nitaweka majina hapa! Sasa wakati haujafika, kwani bado kesi ya hii issue inaendelea management.
 
Binafsi naona maada hii imekaa kimafumbo mno kiasi cha kunipa nguvu ya kutaka kusikia upande wa walalamikiwa. Kichwani mwangu nimefikiria zaidi kwamba, pamoja na pengine repoti husika kukataliwa, yawezekana wanafunzi hao walikiuka masharti ya kiutahiniwa kama vile; kuwasilisha repoti zao kwa wakati na kutakiwa sasa, kwa vile siku iliyokuwa inafuata wangekuwa wamechelewa tarehe iliyokuwa imewekwa. Basi, katika mazingira hayo, utajikuta kwamba, wanafunzi iliwabidi wabaki na njia pekee ya kuwasilisha usiku taarifa zao/repoti. Tusisahau kwamba, wengi wetu/watanzania ni wazembe hasa katika utunzaji wa muda kwa mujibu wa ratiba zetu. Sasa kuanza kuhukumu, kwa kusoma upate mmoja tu wa mtuhumu pasipo kusikiliza upande wa pili hakika haitakuwa kutenda haki. Unajuaje, kama mtoa maada hii akawa mmoja wapo wa wanafunzi husika na sasa kwa sababu ya uzembe wake uliosababisha kupewa misukosuko hiyo, ameona hapa ni pahali pa kushitakia? Kwa nini maada nyeti kama hii isisemwe kwenye uongozi wa chuo ili ifanyiwe kazi ipasavyo? Naamini wengi wetu ndani ya jf hatujui hata masharti ya uandishi wa repoti hizo kwa wanafunzi hao zikoje kwa mujibu wa taratibu za chuo. Hivyo, kulijadili pia suala hili hapa ni kama kudandia kitu kisichotuhusu, labda hadi hapo mtoa hoja pia angetuambia masharti ya kuwasilisha repoti hizo yanasemaje.
 
:yo::yo: Watajwe tu kwa majina maana huo ni ufedhuri wa hali ya juu kwa watu kama walimu ambao wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa. Please Mizizi anika majina yao hadharani.
 
kaka weka majina jamvini.tuwashughulikie mara moja.Hao ndiyo wanao haribu nchi.weka majina kijana,kuendelea kuongea ni kama kupiga majungu.Hii ni serious ishuuuu si politics
 
UMEWAHI FUNDISHA VYUO VYA ELIMU YA JUU WEWE! Kuna kazi! Kuna wadada wanajilengesha kama nini? Tena wanapenda sana kuingiaingia kwenye ofisi za wahadhili bila hata woga. Wakifika ofisini Mikao yao kama picha hiyo ya Mleta mada. Yaani ametega unafikiri yupo Kimboka Buguruni. HATA NINGELIKUWA MIMI CHAKULA KILICHOWEKWA MEZANI NI SHARTI KILIWE. Chezea wadada wewe, wananjia nyingi za kufaulu.
 
Chuo hiki kimekidhiri kwa uchafu wa aina mbalimbali, nafikiri serikali italifanyia kazi matatizo ya chuo kwa siku za karibuni kabla haijapotea kwenye ramani ya elimu hapa nchini.
 
takukuru wapo hiyo kisheria ni rushwa ya ngono

Mbona vyuo vyote TZ ngono iko nje nje. Wasichana wanajirahisisha sana kwa wahadhiri wao ili kupata alama nzuri. Kwa chuo kama MNMA ndio zaidi hasa kwa watoto wa Certificate,diploma na degree. Chapa ilale
 
Kwa taarifa nilizozipata leo hii kutoka kwa wadau wa Mwalimu nyerere Memorial Academy ni za kusikitisha sana. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba, mambo haya yanafanywa na vijana, ambao tulitegemea wangeleta mabadiliko na kusahau ile kasumba iliyokuwa ikishusha hadhi ya baadhi ya vyuo mbali mbali hapa nchini! Kinachotokea Mwalimu Nyerere ni kwamba kuna baadhi ya walimu wamesahau wajibu wao wa kuwasimamia wanafunzi wao ili kufikia malengo yao ya kitaaluma na badala yake wamejigeuza miungu watu.

Haya yametokea hivi karibuni pale wanafunzi wa kada mbalimbali walipohitajika kuandika ripoti zao za tafiti mbalimbali kama utaratibu unavyoeleza. Kinyume na matarajio, baadhi ya wanafunzi hasa wa kike ambao wasimamizi wao ni wanaume vijana kukutana na vikwazo mbalimbali. Wengine walitakiwa kupeleka ripoti hizo nyumbani kwa walimu nyakati za usiku. Waliokataa kufanya hivyo wamefikia hatua mbaya, hata kukataliwa kupokelewa ripoti zao na hivyo kuwepo uwezekano wa kurudia mwaka! Cha kushangaza, ni kwamba, hawa wanaofanya haya wengine wamesoma ndani na nje ya nchi, na wameona ni jinsi gani huko walimu walivyo committed na helpful kwa wanafunzi wao kama wao walivyosaidiwa kwa hali ya juu. Cha ajabu ni kwanini wanaamua kuwafanyia ushenzi kama huu watanzania wenzao.

Kuna mwalimu mmoja baada ya kufanya upumbavu kwa mwanafunzi mke wa mtu, mumewe akaamua kutia timu chuoni, mwalimu alipolazimishwa kuipokea ripoti ya mwanafunzi na mkuu wake akamwambia yule mwanafunzi amwite mumewe wasaishe wote,mwanafunzi alipoambiwa vile akaamua kufikisha malalamiko kwa mkuu wa yule mwalimu, ndipo akabadilishiwa msimamizi, ndipo yule mwalimu wa awali akamfuata huyu mwalimu na kumpa maelekezo kwamba, ahakikishe yule mwanafunzi anarudia mwaka ama yeye anaunja urafiki nae.
Majina ya hawa walimu wote ninayo, na kuna mengi yaliyofanywa hapo chuoni, ikihitajika tutayaweka hapa.

Sasa najiuliza, haya mambo mbona hayafanani na falsafa ya Mwalimu kama chuo kilivyobeba jina lake? Ama ndio hujuma za makusudi kukihujumu chuo hiki kwa malengo maalumu?

[h=2]Dk. John Magoti na mr. Lwambano mchunguzwe,mmekiua chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere[/h]
WANAJANVI SALAM?

Namasikitiko makubwa juu ya chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere cha Kigamboni ambacho kwa ukweli mimi kama mtu wajirani na chuo hiki yanayotokea yananipa mashaka endapo katika serikali ya rais Kikwete kuna watu makini katika kusimamia elimu yetu.

Huyu mkuu wa chuo alishawahi kufungiwa mlango na watumishi miaka kazaa nyuma na akanusuriwa na mzee kingunge Ngiombare Mwiru.

Alistaafu akapewa miaka mitano akamaliza akapewa tena miaka miwili hadi feb 2014, sasa kunataarifa kuwa kaomba kujiuzuru haraka oct 2013 pamoja na Mkt wa bodi DK SALI A SALIM baada ya kuona moto unawake kila kona.

Moja; Magoti anatuhumiwa yeye na MR Lwambano kula zaidi ya Tsh milioni 300 za fedha ya gharama ya wanafunzi ya matibabu

Yani walichangisha pesa kinyume na agizo la serikali LA MWAKA 2008

Serikali iliagiza tangu mwaka 2008 kuwa mwanachuo au sekondari aliejiunga na bima ya afya Hatotozwa tena gharama ya matibabu na taasisi za umma na taasisi hizo zijiunge na bima ya matibabu

DK MAGOTI kwa njia za panya akaanzisha mchango wa matibabu wa shilingi laki moja kila mwaka kwa kila mwanazfunzi na kwa mwaka alichangisha zaidi ya milioni 150 kwa wanachuo waliokuwa takribani 1500,mchango huo ulidumu kwa muda waamiaka 3 hadi 2013 kutokana na kitumbua kuingia mchanga mara baada ya mwanachuo aliekuwa akisoma chuoni hapo kwa wakati huo ABUBAKAR ASENGA .D kuwasha moto wa kukataa kulipa gharama hizo na hatimae aliondolewa chuoni kwa kusimamishwa miezi 3 na kesi hadi sasa inaendelea ambapo chuo kimeshatumia zaidi ya milioni 10 kumlipa wakili wakuhakikisha mwanachuo huyo arudi chuoni hapo.

Magoti akaweka tangazo kuwa atarejesha pesa zote za wanachuo ambazo amezichangisha weye bima za matibabu ,jambo ambalo hajafanya hadi sasa, na wanachuo wengi wameshamaliza chuo na wako tangu miaka 3 nyuma, atarudishaje pesa hizi na hizi pesa zimetumikaje mana nasikia imebaki laki 6 tu?

Nani anazikagua? Wakati zahanati hapa chuoni inapewa ruzuku ya dawa na tabibu analipwa na serikali.
Hadi sasa wanachuo ambao hawana bima (na chuo hakitaki kuanzisha huduma hiyo chuoni) wanatakiwa kulipa shilingi laki moja kila mwaka, mwanachuo aumwe au asiumwe lazima aliepe na gharama hizo ni kwa zahanati ya chuo tu inayofungwa saa 10 jioni na tabibu ni huyo mmoja tu.

Mwanachuo akipewa rufaa ni kwa gharama zake,baaada ya malalamiko sasa Magoti kaamua eti mwakachuo akizidiwa zaidi atapelekwa Burhani hosp ambapo ameingia nao mkataba wa kifisadi pia.

Kila kitu huyu mzee anaamua mara baada ya kushauriwa na huyu bwana Lwambano ambae ndie anaonekana kumiliki utajiri wa Dk Magoti.

Kumbukeni huyu Lwambano ameajiriwa chuo cha Nyrere mara baada ya kufilisi kiwanda cha kahawa Moshi, na ameajiriwa akiwa na miaka 40 kinyume na taratibu za serikali.

Anafanya kazi zaidi ya tatu hapa chuoni,msajili,mhadhiri,msimam izi wa zabuni,msimamizi wa rasilimali watu na kadhalika.

Mara zote huyu bwana Magoti, alikpokuwa akiandikwa hapa mtandaoni na ufisadi wake alikuwa akitetewa na bwana mmoja anaejulikana kwa jina la Mabuba ambae ni memba wa sikunyingi humu ,na ni mfanyakazi hapa chuoni.
SASA MABUBA NAE YAMEMKUTA NA KAMA YUMO HUMU ASEME KWELI HAPA

Alikuwa afisa wa mitihani, akaamuriwa aweke somo la mtihani kwenye ratiba kinyuime cha taratibu kwa kuwa somo lilikuwa jipya na halikuwa kwenye mpangio wa mwaka, alikataa na siku ya mwisho, Magoti aliingia ofisini kwa Mabuba na kutunga mtihani,kuchukua karatasi za majibu na akaenda kwenye chumba cha wanachuo wanaotakiwa kufanya mtihani na kuwasimamia yeye mwenyewe kwa kuwa alitangaza somo hilo kuanza kufundishwa pasi na marekebisho ya kanuni wakati bwana Mabua alisema endapo somo hilo litafanyika basi atajiuzulu nafasi yake

Mabuba sasa AMEACHIA OFISI,ameelewa ukweli na uzalendo umemshinda akaamua kuachia nafasi na akaondolewa na kuteuliwa mtu mwingine ambae kwa kweli nikichekesho mana wanachuo imebidi wapate matokeo yao kwa njia ya kusoma kwenye matangazo kwenye ubao,,kwa kuwa hakuijua ofisi wala hakupewa semika ni kama kawaida ya Magoti ya kuhamka asubuhi na kusema wewe ndiwe utakuwa afisa mitihani na unakuwa.
NI DIKTETA MKUBWA.

Pole Mabuba, ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa maana lazima udhihiri.

Tatu; WATUMISHI HAPA CHUONI SASA hawapati allowance yeyote ile ikidaiwa hakuna pesa na pesa zilienda kujenga nyumba ya kukaa wanafunzi katika tawi la chuo cha zanzibar kinyume cha taratibu.

Chuo hakina fedha chuo ambacho kilikuwa kinakaribia idadi ya wanachuo 2000 miaka miwili iliyopita sasa walioomba kujiunga na chuo hawafiki 200 na kunahati hata wasiwasili wote, sasa chuo hakifikishi jumla ya wanachuo 1000
WAZIRI MKUU PINDA NJOO KWA ZIARA YA GAFLA HAPA CHUONI AMURU UZUNGUMZE NA WAFANYA KAZI BILA MAGOTI NA MR LWAMBANO KUWAPO,,,,,TUKWAMBIE MAMBO ZAIDI YA YALE YA MWAKA JUZI ULIPOKUJA NA KUKUTA UFISADI ULIOKITHIRI CHUONI.

HAPA CHUONI kulikuwa na mkuu wa idara ya maktaba huyu bwana ni Mmasai hakutaka mchezo aliletewa orodha ya vitabu 5 vilivyonunuliwa kila kimoja shilingi laki saba wakati vinauzwa shilingi elfu arobaini kariakoo, akapandisha mori na kwenda kwa Magoti,alipofika akaambiwa alaa kumbe unakiherehere na wakubwa WA NCHI HII…..
basi utaisoma namba, huyu bwana Mmasai ana first class degree katika mambo ya maktaba na aliajiriwa akiwa na diploma mpaka sasa ajatambuliwa wala kupandishwa cheo, wenzake wanapanda tu yeye kila mwaka anaambiwa bajeti si ya Wamasai

Mkt wa bodi ya chuo hiki ni DK SALIM AHAMED SALIM, DK HUYU ANAMAJUKUMU MAZITO YANAYOMPA NAFASI MAGOTI KUFANYA ATAKACHO kwakuwa hakuna mtu wakaribu kumfatilia.

ALICHUKUA MAGARI YA SERIKALI KWENDA KUTOLEA POSA YA mwanae Musoma na kushiriki kwenye harusi Arusha KAFANYWA NINI?

Lwambano kila kukicha anachukua magari ya serikali chuoni na kwenda nayo Rufiji kwenye shamba lake,
LWA MBANO SASA ANAMILIKI MAFUSO ZAIDI YA 7,EXTRIAL GARI YA KUTEMBELEA NA JUZI AMENUNUA PRADO NEW MODEL AMEIPAKI CHUMBANI NYUMBANI ANAPOISHI NA AMEIJENGEA UKUTA akifanya mpango wakubadili hati kuandika jila la nduguye.

Kila mara anawalingishia wafanyakazi wenzake kuwa yeye amejijenga vya kutosha na yupo tayari kwa chochote.
Mambo ya Magoti yalimkuta pia aliekuwa makam mkuu wa chuo Mr Mushi na kukataa kuongezewa mkataba na badala yake kuwa mwalimu wa kawaida,siku ambayo Mushi alisema hivyo haraka bwana Magoti akamteua mtu wake ambae yeye hajui kusema hapana bali NDIYO TUU anaitwa Mr Lunyelele kuchukua nafasi kabla ya bodi kuamua.

Sasa Lwamabano anapesa kuliko chuo, Juzi ameikopesha SACCOS YA wafanyakazi wachuo na yeye ndie anatembea na makabrasha ya saccos.

BWANA MAGOTI SIKU AKIKUTANA NA WANACHUO KUZUNGUMZA NAO,HOTUBA ZAKE NI MAARUFU KWA KUANZA HIVI, “NDUGU WANACHUO KAMA KAWAIDA HAKUNA MASWALI H APA”,ANAHUTUBIA ANAONDOKA
NAULIZA HIVI DK MAGOTI AMEKINUNUA CHUO CHA MWALIMU NYERERE?
MAANA CHUO SASA KINAITWA CHUO CHA KUMSAHAU NYERERE

Alimuajiri shemejie amabe alisomea vyeti vya mtu akiwa na diploma na kumsomesha hadi Phd bwana MHAGAMA,kilipo waka likawekwa tangazo eti ameamua kuacha kazi kwa hiari.

Sasa hapa chuoni bwana Magoti amemuajiri ndugu yake anaeitwa Mr KIOI,huyu bwan pia ameajiriwa chuo cha DIT suala ambalo nikinyume cha taratibu za serikali kwa mtu kuwa na ajira mbili rasmi ndani ya taasisi za serikali,utashangaa wakati Magoti ni mkubwa ktk nchi hii anatishia kila mtu,
 
Kwa taarifa nilizozipata leo hii kutoka kwa wadau wa Mwalimu nyerere Memorial Academy ni za kusikitisha sana. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba, mambo haya yanafanywa na vijana, ambao tulitegemea wangeleta mabadiliko na kusahau ile kasumba iliyokuwa ikishusha hadhi ya baadhi ya vyuo mbali mbali hapa nchini! Kinachotokea Mwalimu Nyerere ni kwamba kuna baadhi ya walimu wamesahau wajibu wao wa kuwasimamia wanafunzi wao ili kufikia malengo yao ya kitaaluma na badala yake wamejigeuza miungu watu.

Haya yametokea hivi karibuni pale wanafunzi wa kada mbalimbali walipohitajika kuandika ripoti zao za tafiti mbalimbali kama utaratibu unavyoeleza. Kinyume na matarajio, baadhi ya wanafunzi hasa wa kike ambao wasimamizi wao ni wanaume vijana kukutana na vikwazo mbalimbali. Wengine walitakiwa kupeleka ripoti hizo nyumbani kwa walimu nyakati za usiku. Waliokataa kufanya hivyo wamefikia hatua mbaya, hata kukataliwa kupokelewa ripoti zao na hivyo kuwepo uwezekano wa kurudia mwaka! Cha kushangaza, ni kwamba, hawa wanaofanya haya wengine wamesoma ndani na nje ya nchi, na wameona ni jinsi gani huko walimu walivyo committed na helpful kwa wanafunzi wao kama wao walivyosaidiwa kwa hali ya juu. Cha ajabu ni kwanini wanaamua kuwafanyia ushenzi kama huu watanzania wenzao.

Kuna mwalimu mmoja baada ya kufanya upumbavu kwa mwanafunzi mke wa mtu, mumewe akaamua kutia timu chuoni, mwalimu alipolazimishwa kuipokea ripoti ya mwanafunzi na mkuu wake akamwambia yule mwanafunzi amwite mumewe wasaishe wote,mwanafunzi alipoambiwa vile akaamua kufikisha malalamiko kwa mkuu wa yule mwalimu, ndipo akabadilishiwa msimamizi, ndipo yule mwalimu wa awali akamfuata huyu mwalimu na kumpa maelekezo kwamba, ahakikishe yule mwanafunzi anarudia mwaka ama yeye anaunja urafiki nae.
Majina ya hawa walimu wote ninayo, na kuna mengi yaliyofanywa hapo chuoni, ikihitajika tutayaweka hapa.

Sasa najiuliza, haya mambo mbona hayafanani na falsafa ya Mwalimu kama chuo kilivyobeba jina lake? Ama ndio hujuma za makusudi kukihujumu chuo hiki kwa malengo maalumu?

pu.mbaf.u wewe kila siku unatuletea utumbo khs mwalimu nyerere academy,mods toeni huu uharo.mwalimu nyerere hakuna ushenzi kama huo,domo kama umekula ma.vi
 
Wana JF huyu ni Mwanafunzi mwenzetu pale ambao wamefeli ila wanapewa vyeti kinyemela. Kwa sasa hadi Afisa Mtihani kajiuzulu kutokana na ufisadi huo katika mitihani unafanywa na Dr.Magoti na Luambano bila kuwahusisha wengine. Kama si kweli kanusha wee Kihiyo. Nyie ndio mnatuharibia taifa hili kwa umbumbumbu wenu wa kukalia kugushi vyeti.
pu.mbaf.u wewe kila siku unatuletea utumbo khs mwalimu nyerere academy,mods toeni huu uharo.mwalimu nyerere hakuna ushenzi kama huo,domo kama umekula ma.vi
 
Hii hatari! Inasikitisha hayo mambo yanahitaji uchunguz ili kuokoa hiki chuo kama ni ya kweli. Lkn kisemwalo lipo hayo mambo yanahitaji kufanyiwa kazi sio kupuuzwa ili kuokoa nidhamu ya mahala pa kazi kiujumla kwa tanzania ya sasa na ijayo
 
Dk. John Magoti na mr. Lwambano mchunguzwe,mmekiua chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere

WANAJANVI SALAM?

Namasikitiko makubwa juu ya chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere cha Kigamboni ambacho kwa ukweli mimi kama mtu wajirani na chuo hiki yanayotokea yananipa mashaka endapo katika serikali ya rais Kikwete kuna watu makini katika kusimamia elimu yetu.

Huyu mkuu wa chuo alishawahi kufungiwa mlango na watumishi miaka kazaa nyuma na akanusuriwa na mzee kingunge Ngiombare Mwiru.

Alistaafu akapewa miaka mitano akamaliza akapewa tena miaka miwili hadi feb 2014, sasa kunataarifa kuwa kaomba kujiuzuru haraka oct 2013 pamoja na Mkt wa bodi DK SALI A SALIM baada ya kuona moto unawake kila kona.

Moja; Magoti anatuhumiwa yeye na MR Lwambano kula zaidi ya Tsh milioni 300 za fedha ya gharama ya wanafunzi ya matibabu

Yani walichangisha pesa kinyume na agizo la serikali LA MWAKA 2008

Serikali iliagiza tangu mwaka 2008 kuwa mwanachuo au sekondari aliejiunga na bima ya afya Hatotozwa tena gharama ya matibabu na taasisi za umma na taasisi hizo zijiunge na bima ya matibabu

DK MAGOTI kwa njia za panya akaanzisha mchango wa matibabu wa shilingi laki moja kila mwaka kwa kila mwanazfunzi na kwa mwaka alichangisha zaidi ya milioni 150 kwa wanachuo waliokuwa takribani 1500,mchango huo ulidumu kwa muda waamiaka 3 hadi 2013 kutokana na kitumbua kuingia mchanga mara baada ya mwanachuo aliekuwa akisoma chuoni hapo kwa wakati huo ABUBAKAR ASENGA .D kuwasha moto wa kukataa kulipa gharama hizo na hatimae aliondolewa chuoni kwa kusimamishwa miezi 3 na kesi hadi sasa inaendelea ambapo chuo kimeshatumia zaidi ya milioni 10 kumlipa wakili wakuhakikisha mwanachuo huyo arudi chuoni hapo.

Magoti akaweka tangazo kuwa atarejesha pesa zote za wanachuo ambazo amezichangisha weye bima za matibabu ,jambo ambalo hajafanya hadi sasa, na wanachuo wengi wameshamaliza chuo na wako tangu miaka 3 nyuma, atarudishaje pesa hizi na hizi pesa zimetumikaje mana nasikia imebaki laki 6 tu?

Nani anazikagua? Wakati zahanati hapa chuoni inapewa ruzuku ya dawa na tabibu analipwa na serikali.
Hadi sasa wanachuo ambao hawana bima (na chuo hakitaki kuanzisha huduma hiyo chuoni) wanatakiwa kulipa shilingi laki moja kila mwaka, mwanachuo aumwe au asiumwe lazima aliepe na gharama hizo ni kwa zahanati ya chuo tu inayofungwa saa 10 jioni na tabibu ni huyo mmoja tu.

Mwanachuo akipewa rufaa ni kwa gharama zake,baaada ya malalamiko sasa Magoti kaamua eti mwakachuo akizidiwa zaidi atapelekwa Burhani hosp ambapo ameingia nao mkataba wa kifisadi pia.

Kila kitu huyu mzee anaamua mara baada ya kushauriwa na huyu bwana Lwambano ambae ndie anaonekana kumiliki utajiri wa Dk Magoti.

Kumbukeni huyu Lwambano ameajiriwa chuo cha Nyrere mara baada ya kufilisi kiwanda cha kahawa Moshi, na ameajiriwa akiwa na miaka 40 kinyume na taratibu za serikali.

Anafanya kazi zaidi ya tatu hapa chuoni,msajili,mhadhiri,msimam izi wa zabuni,msimamizi wa rasilimali watu na kadhalika.

Mara zote huyu bwana Magoti, alikpokuwa akiandikwa hapa mtandaoni na ufisadi wake alikuwa akitetewa na bwana mmoja anaejulikana kwa jina la Mabuba ambae ni memba wa sikunyingi humu ,na ni mfanyakazi hapa chuoni.
SASA MABUBA NAE YAMEMKUTA NA KAMA YUMO HUMU ASEME KWELI HAPA

Alikuwa afisa wa mitihani, akaamuriwa aweke somo la mtihani kwenye ratiba kinyuime cha taratibu kwa kuwa somo lilikuwa jipya na halikuwa kwenye mpangio wa mwaka, alikataa na siku ya mwisho, Magoti aliingia ofisini kwa Mabuba na kutunga mtihani,kuchukua karatasi za majibu na akaenda kwenye chumba cha wanachuo wanaotakiwa kufanya mtihani na kuwasimamia yeye mwenyewe kwa kuwa alitangaza somo hilo kuanza kufundishwa pasi na marekebisho ya kanuni wakati bwana Mabua alisema endapo somo hilo litafanyika basi atajiuzulu nafasi yake

Mabuba sasa AMEACHIA OFISI,ameelewa ukweli na uzalendo umemshinda akaamua kuachia nafasi na akaondolewa na kuteuliwa mtu mwingine ambae kwa kweli nikichekesho mana wanachuo imebidi wapate matokeo yao kwa njia ya kusoma kwenye matangazo kwenye ubao,,kwa kuwa hakuijua ofisi wala hakupewa semika ni kama kawaida ya Magoti ya kuhamka asubuhi na kusema wewe ndiwe utakuwa afisa mitihani na unakuwa.
NI DIKTETA MKUBWA.

Pole Mabuba, ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa maana lazima udhihiri.

Tatu; WATUMISHI HAPA CHUONI SASA hawapati allowance yeyote ile ikidaiwa hakuna pesa na pesa zilienda kujenga nyumba ya kukaa wanafunzi katika tawi la chuo cha zanzibar kinyume cha taratibu.

Chuo hakina fedha chuo ambacho kilikuwa kinakaribia idadi ya wanachuo 2000 miaka miwili iliyopita sasa walioomba kujiunga na chuo hawafiki 200 na kunahati hata wasiwasili wote, sasa chuo hakifikishi jumla ya wanachuo 1000
WAZIRI MKUU PINDA NJOO KWA ZIARA YA GAFLA HAPA CHUONI AMURU UZUNGUMZE NA WAFANYA KAZI BILA MAGOTI NA MR LWAMBANO KUWAPO,,,,,TUKWAMBIE MAMBO ZAIDI YA YALE YA MWAKA JUZI ULIPOKUJA NA KUKUTA UFISADI ULIOKITHIRI CHUONI.

HAPA CHUONI kulikuwa na mkuu wa idara ya maktaba huyu bwana ni Mmasai hakutaka mchezo aliletewa orodha ya vitabu 5 vilivyonunuliwa kila kimoja shilingi laki saba wakati vinauzwa shilingi elfu arobaini kariakoo, akapandisha mori na kwenda kwa Magoti,alipofika akaambiwa alaa kumbe unakiherehere na wakubwa WA NCHI HII…..
basi utaisoma namba, huyu bwana Mmasai ana first class degree katika mambo ya maktaba na aliajiriwa akiwa na diploma mpaka sasa ajatambuliwa wala kupandishwa cheo, wenzake wanapanda tu yeye kila mwaka anaambiwa bajeti si ya Wamasai

Mkt wa bodi ya chuo hiki ni DK SALIM AHAMED SALIM, DK HUYU ANAMAJUKUMU MAZITO YANAYOMPA NAFASI MAGOTI KUFANYA ATAKACHO kwakuwa hakuna mtu wakaribu kumfatilia.

ALICHUKUA MAGARI YA SERIKALI KWENDA KUTOLEA POSA YA mwanae Musoma na kushiriki kwenye harusi Arusha KAFANYWA NINI?

Lwambano kila kukicha anachukua magari ya serikali chuoni na kwenda nayo Rufiji kwenye shamba lake,
LWA MBANO SASA ANAMILIKI MAFUSO ZAIDI YA 7,EXTRIAL GARI YA KUTEMBELEA NA JUZI AMENUNUA PRADO NEW MODEL AMEIPAKI CHUMBANI NYUMBANI ANAPOISHI NA AMEIJENGEA UKUTA akifanya mpango wakubadili hati kuandika jila la nduguye.

Kila mara anawalingishia wafanyakazi wenzake kuwa yeye amejijenga vya kutosha na yupo tayari kwa chochote.
Mambo ya Magoti yalimkuta pia aliekuwa makam mkuu wa chuo Mr Mushi na kukataa kuongezewa mkataba na badala yake kuwa mwalimu wa kawaida,siku ambayo Mushi alisema hivyo haraka bwana Magoti akamteua mtu wake ambae yeye hajui kusema hapana bali NDIYO TUU anaitwa Mr Lunyelele kuchukua nafasi kabla ya bodi kuamua.

Sasa Lwamabano anapesa kuliko chuo, Juzi ameikopesha SACCOS YA wafanyakazi wachuo na yeye ndie anatembea na makabrasha ya saccos.

BWANA MAGOTI SIKU AKIKUTANA NA WANACHUO KUZUNGUMZA NAO,HOTUBA ZAKE NI MAARUFU KWA KUANZA HIVI, "NDUGU WANACHUO KAMA KAWAIDA HAKUNA MASWALI H APA",ANAHUTUBIA ANAONDOKA
NAULIZA HIVI DK MAGOTI AMEKINUNUA CHUO CHA MWALIMU NYERERE?
MAANA CHUO SASA KINAITWA CHUO CHA KUMSAHAU NYERERE

Alimuajiri shemejie amabe alisomea vyeti vya mtu akiwa na diploma na kumsomesha hadi Phd bwana MHAGAMA,kilipo waka likawekwa tangazo eti ameamua kuacha kazi kwa hiari.

Sasa hapa chuoni bwana Magoti amemuajiri ndugu yake anaeitwa Mr KIOI,huyu bwan pia ameajiriwa chuo cha DIT suala ambalo nikinyume cha taratibu za serikali kwa mtu kuwa na ajira mbili rasmi ndani ya taasisi za serikali,utashangaa wakati Magoti ni mkubwa ktk nchi hii anatishia kila mtu,

Uthibitisho wa tuhuma zilizopo chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere

Wana JF kumekuwa watu hususan Mkuu Uzalendi, Mpalamtoko na wengine juu ya tuhuma za chuo hicho, hapa naweka barua iliyoandikwa na bwana Mabuba kwenda kwa mkuu wa chuo. Kumbukeni ndugu huyu naye ni mtuhumiwa, amekuwa akituhumiwa kutoa vyeti feki. Nitajitahidi kuwaletea kila doc nitakayoipata.

Tuhuma hizi kama ni kweli, basi vyuo kazi ipo.​
paperclip.png
Attached Files

Back
Top Bottom