Mwalimu Nyerere alisema nini kuhusu Muungano, Chama Kipya Kutawala Nchi na Katiba Mpya? Sikiliza

Arusha Mambo

Senior Member
Jan 27, 2011
174
150
visit: www.arushamambo.com

Tunawaletea mfululizo wa hotuba muhimu za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akizungumzia Muungano, Katiba na Chama gani kinatakiwa kutawala nchi hii baada ya CCM.


Hutuba Muhimu (ingawa sauti yake sio nzuri) ni ile aliyoitoa Moshi Mwaka 1995 aliposema anatamani chama kipya kitawale Tanzania.


Karibu usikilize:

visit www.arushamambo.com Click " Sikiliza Arusha mambo FM" ili kusikiliza na tutafurahi uki LIKE redio yetu na kutoa maoni yako.
 
Back
Top Bottom