nyatofundi
Member
- Apr 3, 2012
- 15
- 7
Kwanza alijenga viwanda kwa mfumo wa uchumi wa kujitegemea- Alihakikisha ana Heavy Industries katika sekta nyingi kama vile Kiwanda cha Karatasi Mgololo ambacho kilitumia maligafi ya miti ya msitu wa saohill, mkaa ya kiwira na kuzalisha karatasi kwa ajili ya Printing industries ambazo vilitengeneza packaging products, stationery, news paper industries etc.
Viwanda vya vipuri kama vile Mangula Machines Tools, Kilimanjaro Machine Tools ambavyo vilizalisha vipuri kwa ajili ya viwanda kama cha karatasi. Viwanda vya cement, Kiwanda cha chuma na mbolea na vingine vingiiiiiiii.
Katika viwanda vyote na maeneo mengine ya kibiashara ambayo yalionekana ni potetial aliweka maafisa kodi/mapato kutoka INCOME TAX, Maafisa hao walikuwa na jukumu la kurekodi takwimu za uzalishaji za kila siku, ifikapo mwisho wa mwezi bill iliandikwa na kodi ililipwa maramoja.
LEO, Maafisa wa TRA hupiga simu kwenye viwanda na migodi kuomba appoitment ya kuwekewa takwimu za kukadiria kodi!!!!!!!!watanzania tunaibiwa mno kuliko tunavyofikiria. Watoto wetu wasingekaa chini kwa kukosa madawati, machinga wetu wasingezagaa barabarani na kumwagiwa maji ya sumu, hospitali zetu zingekuwa na huduma nzuri kama kodi ingekusanywa ipasavyo tena kwenye pontetial sectors.