Mwalimu napatikana

Mwalimu mwenzangu Evelyn Salt yupo kupigania ualimu kila kona ha ha mpeni kijana deal afundishe hata kama atakosea principles za u ticha ana cop mbele ya safari anybody can teach mjue
 
shalom wanajukwaa
habari za humu wakuu,samahani mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 nipo mwanza na ni mhitimu wa shahada ya sosholojia mwaka 2014,nmekuja hapa kuomba namna au kazi popote nchini tanzania iwe kufundisha hasa masomo ya historia,jiografia,civics/general study or development study na compyuter studies pamoja na kiswahili au shughuli yoyote halali itakayolinda utu wang
napatikana kwa namba 0758502366

nawasilisha

kufundisha civics mpaka uwe Mwl grade A, kufundisha general study mpaka uwe na diploma, kufundisha development studies mpaka uwe na degree katika elimu hivyo quite. CV yako haionyeshi kama umeyapitia hayo na hivyo unaonyesha kama kama unataka kufundisha kwa kutaka unafuu wa maisha kitu ambacho inaua watoto kitaaluma. kuna upungufu wa human resources na waajiri wapo huku pia. hujachelewa hembu jaribu kuwa clear ndg for sure you will be successful. Try to be patient
 
mkuu huyu anadai anaweza kufundisha mpaka (compyuter studies) sababu eti degree yake ya sociology aliyosoma ni multi-purpose
 
Mwalimu mwenzangu Evelyn Salt yupo kupigania ualimu kila kona ha ha mpeni kijana deal afundishe hata kama atakosea principles za u ticha ana cop mbele ya safari anybody can teach mjue
Teaching ni profession kama zilivo nyingine, anybody can teach ila sio kila mtu ni MWALIMU
Tatizo kaja na biti wakati ana shida ha ha ha
 
Mkuu wewe umesomea sociology hujasomea ualimu nasio mwalimu na huna sifa za kutufundishia watoto wetu..kilichotakiwa ungetupa experience yako kama ulishawahi kufanya kazi ya kufundisha huko nyuma ili mtu anayesoma thread yako hapa ajue we ni mtu gani na unauzoefu kiasi gani kwa hiyo kazi unayoitaka..alafu unadai unaomba ualimu sababu course yako sociology ni multi-purpose..ar u serious...???tangu lini sociology ni multi-purpose na ni multi-purpose kwenye nini na nini...??..Ok kama ni multi purpose nenda kajaribu kuomba na kazi nyingine huko za udaktari,kilimo,engineering,uhasibu na usisahau kwenye cv yako waandikie umesoma sociology ambayo ni multi-purpose huku kwenye ualimu hatukutaki coz unavyoonekana wewe unakuja huku sababu umekosa kazi kwenye hiyo field uliyosomea huna mapenzi ya dhati na tasnia nzima ya ualimu
Walimu ni mburula
 
Sio Mwalimu by professional ila nafundisha mathematics and chemistry shule fulani hivi. Nawagongesha vijana A za kutosha. Sema namna kijana alivyo Kuja
 
Sema mimi mzee msasambegu ni mburula...usiwatukane walimu wengine mkuu unakuwa unawakosea heshima wazazi wako we nitukane mimi..alafu tusi lako hilo nishalisikia ndio sisi mburula...enhee tukana jingine
Kuna watu wanatafuta Kiki humu. Mkuu achana kubishana na mpumbavu. They can drag you into their level and beat you with their experiences
 
Back
Top Bottom