Mwalimu na Wanafunzi

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Ni siku nyingi sijakuwepo ktk safu hii, hivyo sijuwi hii kama ilishawekwa au laa.

Mwalimu kauliza darasani: "kwanini tunasema mapenzi ni bora kuliko vita?"
Mwanafunzi mmoja akanyanyuka na kujibu: "sababu condom ni bei rahisi kuliko bunduki"
 
Mh! Walimu wanakazi ktk kuwaelimisha hao wanafunzi, japo majibu yana mantic ndani yake
 
Jamani kwani kuna siri? Si hata ktk radio tunasikia kuwa paketi ya Dume ni T shs 300/- (kama sijakosea) na ile bunduki ya toys kama huna buku 5 utaishia kupata ile iliyo mbaya
 
huyo mwanafunzi yuko right kabisa kwani uongo fungua daftari zao nyuma kama hukuti SMS za love na song Lyrics na walimu wanatoa copy siku hizi
 
Back
Top Bottom