Mwalimu mwenye kufanya mapenzi na wanafunzi wake wa kike

Imekuwa ni jambo la kawaida kwa huyu mwalimu wa shule ya sekondari kufanya ngono na wanafunzi wake wa kike tena wengine ni watoto wadogo kabisa, asipojirekebisha tutamtaja jina lake na shule anayofundisha.

Hivi yule aliyevifanya vitoto na kutishia kuvigeuza nyani kwa kutumia maandishi siku vikisema aliishia wapi?
 
Mtaje, kwanini unaficha jina lake?
Kama ni watoto wadogo kabisa
na wewe una uwezo wa kuziwia
but unaendelea kukaa kimya
basi na wewe ushtakiwe for complicity!

Hii kesi itakuwa nyepesi sana maana reference yake ni babu Sea
 
Back
Top Bottom