Elections 2010 Mwalimu Mwakasege Juu ya Uchaguzi wa Tz

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Mtumishi wa mungu leo alikuwa uwanja wa shule ya msingi gangilonga-Iringa na kitu cha kwanza kabala ya kuanza somo lake la Mzaliwa wa kwanza.
Aliwaomba watu kuuombea uchaguzi ujao,na akawaomba wale wote wanaohusika kwa namna moja au nyingine kama mawakala etc wasimame na wakaombewa regardless of their parties.
I call upon the rest of the Tanzanians to pray for our nations peaceful election ukizingatia Tz ni kimbilio la majirani zetu wanaopigana kila leo.
Tukianza kuzichapa tutakimbilia wapi,tumrudie mungu katika ilo tuwe na uchaguzi wa amani
Nimeipenda hii as alikuwa objective hakutaja chama wala mtu alikuwa general na alisisitiza kuwa hatuitaji kujua chama chako
 
huyo ana njaa zinamsumbua Muumini mzuri haachi kutoa mwongozo kupinga rushwa yaani msisitizo wa waumini wasinunuliwe
 
Back
Top Bottom