Mwalimu Mkuu wa Serikali

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Kwanini katika serikali hakuna cheo cha mwalimu mkuu wa serikali kama zilivyo nafasi zingine
1.mwanasheria mkuu wa serikali
2.mkemia mkuu wa serikali
3.daktari mkuu wa serikali
4.mkuu wa jeshi la polisi
5.mkuu wa jeshi la kujenga taifa
6.mkuu wa jeshi la wananchi
7.mkuu wa magereza
8.mhasibu mkuu wa serikali
9.
10
Kwanini waalimu tu,,,ongezea wengine na majibu pia
"vox populi,Vox dei"
 
9. Engineer Mkuu wa Serikali
10. Mwanasiasa/Mwanadiplosia mkuu wa serikali
11. Mchumi mkuu wa serikali
.
.
.
. Mmmmmmmmhhh nimeshtuka, tusijekuwatengenezea ulaji watu hapa!! Utasikia JK anaitisha press release nakuanza kuwataja political failures kwenye hizo nafasi. Hazina tija mkuu!
 
Kwa jinsi sekta hii ilivyo na (i)Watumishi wengi, (ii) Migogoro & matatizo mengi, (iii) Umuhimu mkubwa(iv) kusambaa kila eneo la Tanganyika hii, (iv) inavyodharaulika kwa sasa, etc nadhani point yako ina kiasi cha mashiko!
 
1. Mesanger Mkuu wa serikali
2. Secretary Mkuu wa Serikali
3. Mzinzi mkuu wa Serikali
4. Etc................................
 
wakishaweka hiyo na sisi tutadai dereva mkuu wa serikali
 
Hivi Kamishina wa Elimu au Afisa Elimu Kiongozi sio badala ya hao unaowataja?
 
Mkuu hakuna cheo cha mwalimu bali ualimu ni activities which somebody perform.So ukiajiliwa wizara ya elimu ukiwa na degree cheo chako ni afisa elimu daraja la 2 mwenye diploma ni afisa elimu msaidizi.So hakuna cheo cha mwl mkuu ktk wizara ya elimu bali kuna afisa elimu wa mkoa au wilaya.
 
Back
Top Bottom