Mwalimu Mkuu wa Saint Marry Apigwa Mapanga!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Leo mtoto wangu wa grade 1 anayesoma saint Marry Tabata amerudi na kunipa habari mpya, aliniambia kuwa mwalimu mkuu wao ambaye ni mkenya Mr Kamau kapigwa mapanga na majambazi jana usiku, sikumuamini nimejaribu kuulizia nikaambiwa ni kweli kapigwa mapanga hali yake mbaya sana yuko icu na hao watu hawakuchukua kitu, wenye data kamili
hapa jamvini watuhabarishe....
 
BOFLO, si ukitaka datas uulize huko shule kama kweli mwanao asoma hapo? au nawe umepata mtaani hi taarifa?.
 
Boflo, mbona umekosea maandishi ya jina la shule ya mwanao? St Marry?

Halafu hujakosea mara moja basi. Badilisha bwana, ili pia uweze kumsaidia mwanao akianza kupewa homework. Sawa,eh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom