Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,092
<br /><span style="font-family: garamond"><font size="4">Haya ndo maoni/ushauri/mawazo toka kwako? Unadhani hii ni adhabu stahili?</font></span>
<br />
It's true hayo ni maoni yangu, vp ulitaka yawe yako?
Plz pple lets be great thinkers kwa kujiuliza maswali haya. Hivi inakuwaje taarifa aliyoitoa mtoa hoja tuichukulie kuwa sahihi pasi na shaka yoyote?
Na kwa nini 2mhukumu huyo mwalimu moja kwa moja? Tuna uhakika gani kama mtoa mada ni mwanafunzi au ni mhuni tu wa hapo kiluvya na pengine wana bifu na huyo mwalimu?
Je tuna uhakika gani kama sababu aliyoitoa ndio chanzo cha adhabu hiyo?
Na je tuna uhakika gani kama adhabu hiyo ilitolewa?
Stop judging a book frm it's cover, uchunguzi makini unahitajika.
Ni mtazamo wangu na naomba ieleweke kuwa simtetei mwalimu na wala sikubaliani na kutolewa kwa adhabu hiyo.