Mwalimu kidnaping his pupil.

DULLAH B.

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
672
149
Wana Jf habari zenyu.
Kuna mwl mmoja wa international school moja Moshi alimteka mwanafunzi wake ili alipwe pesa. Ilitawala sana media mwanzoni mwa mwezi huu. Je huyo mwl alikamatwa?
Mtoto alipatikana? Na kama mtoto alipatikana alikua hai kwani huyo mwl alitishia kumua endapo asingelipwa pesa. Naomba mnijuze wana jf.
Nawasilisha.
 
mtoto alipatikana uganda baada ya mzazi wake kulipa zaidi ya M3. pia mwanamke mmoja mkazi wa moshi anashikiliwa na polisi kwa akaunt yake kutumiwa na tekaji hilo kupitishia pesa. inasemekana mwanamke huyo ni mpenzi wa tekaji hilo. wenye habari zaidi tujuzeni kesi inavyoendelea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom