Mtoa mada nabii ni ki siasa au kidini?
Naungana na vonix mia kwa mia kwan nyerere alikuwa mshirikina hata alivyokufa kule butiama kwenye kaburi lake yalitokea manyani ya ajabu na milio ya ajabu mpaka maaskari walinzi wakakimbia,hana lolote la unabii nyerere ni mlozi mkubwa na tapeli kwani alikataza watu wasiwe na tv ,tv anayo mwenyewe ikulu kesho anaitisha mikutano na kuwaambia wananchi ameona nchi fulan itatokea vita kumbe yeye kashaona kideoni sasa huo ndio unabiii ?
Well said mkuu!
Wanaotaka kutulisha maneno yakuwa mwl alikuwa failure watuambie kwa facts alishindwa nini na wapi kisiasa kiuchumi na hata kijamii? Nami nitawaambia alifanikiwa vipi katika nyanja zote hizo....Mwl angekuwa katika dunia ya wenzetu sifa zote za Brutland waziri mkuu wa Norway zingeenda kwake...Aliyeweza kui alert dunia development principles wanazotumia siyo sustainable na wasipoangalia maisha yatakoma....
Ukisoma kitabu cha Hanna et al cha 1996 kuhusu institutions na ukasoma kazi za Ostrom Elinor; Williamson O; North Dowglass scholars wa Institutions na New Intitution Economics, wote hawa wanaelezea concept sahihi za Azimio la Arusha na scholarly articles za Mwl za Ujamaa tofauti ni kuwa hawa wengine ni wanataaluma na yeye akiwa mwanasiasa mweusi anayetakiwa kutawaliwa kiakili ili aendelee kuwa tegemezi! Hata recent work za Lans Bovernberg na Rud de Mooij wa Harvard utaona concept za Mwl zikiwa valid...Hii ni kwa upande wa theory za uchumi na maendeleo.
Ukija kijamii mwl alifanikiwa kuiunganisha jamii yetu hata tukawa na sauti mmoja inapokuja kwenye maswala ya kitaifa kuanzia watoto, vijana hadi wazee; social capital was very high kiasi kwamba imani hiyo aliyoijenga ndiyo ambayo mpaka sasa hawa mafisadi wanaringa nayo kuaptia kura kwani wengi wa watu wazima na wazee bado wanayo inside their heart.
Kiuchumi jaribu kuangalia by the time anang'atuka gap between the poor na the rich ilikuwa kiasi gani; primary school enrolment ilikuwa % ngapi na drop outs pia ni kiasi gani; Idadi ya wataalamu kulingana na ratio yake kwa population iliyokuwapo wakati huo (msije na absolute numbers no bali relative number) in terms of no. of Drs; school teachers; number of schools; hospitals na hata child mortality pia ambao walipata chanjo muhimu. Angalia GDP na GDP per capita ilikuwa kiasi gani anaglia employment ni % ngapi ilikuwa employed kuanzia viwanda; mashamba ya ushirika; mashamba makubwa; etc. Angalia export ilikuwa kiasi gani na mwisho angalia deni la nje lilikua sh. ngapi pamoja na mambo mengi ya siasa za nje kama majeshi yetu nje ya nchi; tume train viongozi wa ngapi wa bara hili na mengine mengi.
Haya ni yale yaliyomo kichwani mwangu sasa fikiria nikianza kuvitafuta si nitajaza pages za mafanikio yake Kisiasa, kiuchumi na kijamii? Leta hapa ya Rais mwingine yeyote wa Tanzania ulinganishe na yake one by one uone kulivyo na gap kubwa!