Mwalimu J.K.Nyerere; Ghadafi Koma Damu Ya Watu Wangu Si Sawa Na Thamani Ya Mafuta Yako..!

Hata waarabu walituchukua utumwani lakin sasa ni marafiki zetu,

Pili Adui wa babu yako siyo lazima na wewe awe adui yako, ndo maana marekan na uingereza walikuwa maadui sana lakin sasa ni mtu na hawara yake
Tatu Tanzania mmesaidiwa na Gaddafi si tu kwa kujenga miskiti na kutoa magari ya ikulu, lakini pia mmetumia pesa zake kwenye bajeti kupitia bank ya Maendeleo ya Afrika ambako yeye ndio alikuwa mchangiaji mkubwa
Nne, alifungua milango kwa watanzania kwenda kufanya kazi Libya hasa baada ya kuanzisha redio ya Voice of Africa iliyokuwa inatangaza kwa kiswahili na chuo cha kuendeleza kiswahili
Pia amekuwa akifadhili sekta ya elimu nchini na kuipromote
 
Back
Top Bottom