Mwalimu Darasani

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,357
Mwalimu alimwuliza ruttashobolwa, "ukiwa mkubwa unataka kufanya nini?" ruttashobolwa akajibu, "nataka nimwoe mke mrembo, tuwe tunaogelea pamoja, niwe nikifanya mapenzi nae mara tatu kwa siku, niwe ............... .." Mwalimu akamkatizia ruttashobolwa akamgeukia madame B, "we untaka uwe nini ukiwa mkubwa?" ​madame B akajibu, " Nataka niwe mke wa ruttashobolwa!!!!"
 
Nadhani mwalimu aliwatoa nje wakaoane vizuri.

....ndo mana mpaka leo bado tunaishi maana Mwl aliharalisha kuoana kwetu.
Kijino hv laazizi wako ni nani humu CC?
Mbona msiri sana wewe?
Tupe data.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha lakini ume sahau kitu hapo huyo mwalimu alitutoa nje lakini ikumbukwe kwamba tulirudi darasani kama kawaida siku iliyo fuata.
 
....ndo mana mpaka leo bado tunaishi maana Mwl aliharalisha kuoana kwetu.
Kijino hv laazizi wako ni nani humu CC?
Mbona msiri sana wewe?
Tupe data.

2lia wewe, unataka nimtaje halafu ninyang'anywe? Au kama nimeiba wa mtu, kiufupi sina laazizi humu cc, mana nna wivu sana, 2taja dundana kila cku humu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom