mwalimu anahitajika.

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Nina madogo wawili wanasoma shule ya msingi,ningependa nipate mwalimu wa shule ya msingi au sekondari anayeweza kuwafundishia nyumbani baada ya muda wa kazi.Masomo yanayohitajika kufundishwa.Lugha,Sayansi na Hesabu.Kutokana na uhalisia wa madogo hawa,ni vema mwalimu huyu awe ni wa kike (binti ambaye hajaolewa),na ambaye anajiamini kuweza kufundisha.Mshahara ni negotiable.Niko Sinza.Ambaye yuko tayari ani PM
 
sijaona kosa langu,vigezo na masharti ilikuwa vyema kuzingatiwa.
 
Back
Top Bottom