Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,134
- 159,017
Ila wanaokuja lazma ujue wabaya sura
We nawe!! Kwani kakwambia anataka mzuri wa sura? Haujaona sifa?
We utakuwa mzuri wa sura, hebu twende tukawahi kabla nafasi hazijajaa.
Ila wanaokuja lazma ujue wabaya sura
Nasubiri nauli eti.Atoto katika ubora
Doooh! Mchumba kumbe mkali hivi!mi sio msodoma pambaf
Aiseee!!jwani akupe atoto
Afunasikiaga eti wewe mzuri haijawhigi tokea apa mjini
Sasa
atoto umeona kaandika vzur?
Wadau natafuta mwalim Mwenye degree anaesubiri ajira awe mke..
Sifa..
1. Awe mrefu
2. Msabato
3. Preferably msabato awe below 28
Mimi nakaa dar elim yangu degree , nafanya kazi serikalini na niko dar