Mwalimu akutwa kalala uchi kwenye kibao cha shule

Nilipata kusikia katika maeneo ya Sumbawanga, kuna mwalimu mmoja yeye alikuwa akenda haja ndogo anakojoa uzi. Duh.
 
Bhana! huyo wamemuonea huruma sana. mimi nimemalizia lindi form 6 mwaka huu, huo mkoa ni noma.. Kuna eneo wanaita shimo la mungu, huko wanatambikia mizimu mvua zinakuja, madem wa huko wanapiga limbwata balaaa. Yaani hayo mambo ya kawaida tu. Mbona kuna ticha alikuta ana viungo vya uzazi vya mwanamke kisa kamchapa mtoto wa watu!
 
Sasa mnashangaaa!! Kwakweli walimu wetu wanafanya kazi kwenye mazingira magumu. Kama wewe ni mwalimu usiombe ukahamishiwa sehemu za Kigoma, Sumbawanga na Bariadi ole wako ujaribu kumpa adhabu yoyote ile mwanafunzi.
 
Duh! mnaniogopesha wajameni!
 
ni kweli,wanasema mwalimu huyu 2010 aliwarusha kichura chura na siku ya idd inasemekana aliwashambulia wanakijiji kwa kisu,na wazee kaatika kata ya mlolela waliamuwa kupambana na mwalimu huyo kwa kumfanyia mambo ya ushirikina

nusura yake ni mlinzi aliyekuwa katika patrol yake na kumwamsha,

ila wanakijiji walimwambia kuwa hapo ni KILAMBO CHA VENE,na watapambana na yeye hadi kieleweke
 
hiyo ya Tanga hata mimi nimewahi kusikia....tena kifuu kikikuuliza ukijifanya mkaidi.....basi mbele unakuta umezungukwa na bahari huna pa kutokea....duh.....Mkandara hebu kuja sawazisha mambo hapa.....

Haya ni mambo ya kutokuwa na IMANI tu,hebu waambie hayo mambo yao ya ulaza waje nayo huku kwe2 kama hawajaunguwa mpk warudi wajuako. Hawana mamlaka ktk ulimwengu wa wale walio na IMANI,Shindwa pepo,shindwa na ulegee kwa jina la YESU!
 
Ndugu yangu Tanzania ni kubwa sana na si hiyo unayoifahamu wewe ya kuishi mijini tu. mkielezwa yanayowatokea wenzenu mnabisha lakini hampo tayari kwenda kuvaa uhusika katika eneo husika ili kuhakikisha kama yapo au la

Kama huyu anayejifanya mjuaji lazima ajikute mdomo wake wamegeuza choo cha shimo,mtu anakunya anajitawazia bunzi la mahindi ndio ataijua DUNIA.
 
Ndugu yangu Tanzania ni kubwa sana na si hiyo unayoifahamu wewe ya kuishi mijini tu. mkielezwa yanayowatokea wenzenu mnabisha lakini hampo tayari kwenda kuvaa uhusika katika eneo husika ili kuhakikisha kama yapo au la

kuna mwalimu mmoja wa shule ya msingi ipo mkuranga kwenye mazingira magumu alipiga hesabu za kuhama aliamua kujinyoa nusu kichwa usiku na kujichanja na wembe chale kama mbili hivi kwe uso alipoamka asubuhi breka ya kwanza kwa mwl mkuu na kumweleza kuwa amenyolewa na wachawi, fasta akapelekwa kwa DEO na kupewa uhamisho siku hiyo.Huku nyuma kijijini wazee wakapigwa na butwaa wakaitana na kuulizana kulikoni wakaapizana kama kuna aliyefanya mabaya yamkute au kama mwl amewasingizia mabaya yamkute kilichotokea baada ya two weeks mwl yule akachanganyikiwa akili
 
Hao watu bado wanalalamika wanatengwa kimaendeleo. Mwalimu sio wakufanyiwa hivo. Ningekuwa na uwezo ningewaamuru waalimu wote watoke huko. Mwl bongo ni hell, mshahara mdogo, malazi ovyo, mazingira ya ovyo na WANGA tena. Tokeni huko watie akili
 
maskini walimu wenzangu, mara uchawi, mara ngwala, mara ngumi, mara mateke, mara mishahara na posho....kha, niliona ujinga huu huyoo nikakimbia mapema, wamenisema weeeee but life goes on. Ualimu! Nomaaaaaa
 
hii isije ikawa kama story za huko Ukerewe......ukitandika mtoto wa watu unashangaa wakati unaoga mamba anakuibukia kwenye beseni.....eti nyie wakerewe....ni kweli haya.....?

we preta unawchunguza mpaka wakwe utakosa mume shauri yakooo.... hahahaha duh mamba kwenye beseni... bac maji ya kuoga nitakuwa nayaweka kwenye chupa ya soda napanga kama kreti 10 hv.. tuone sasa
 
Bhana! huyo wamemuonea huruma sana. mimi nimemalizia lindi form 6 mwaka huu, huo mkoa ni noma.. Kuna eneo wanaita shimo la mungu, huko wanatambikia mizimu mvua zinakuja, madem wa huko wanapiga limbwata balaaa. Yaani hayo mambo ya kawaida tu. Mbona kuna ticha alikuta ana viungo vya uzazi vya mwanamke kisa kamchapa mtoto wa watu!

Mmhh, na gamboshi hii mambo yasemekana ipo sana
 
we preta unawchunguza mpaka wakwe utakosa mume shauri yakooo.... hahahaha duh mamba kwenye beseni... bac maji ya kuoga nitakuwa nayaweka kwenye chupa ya soda napanga kama kreti 10 hv.. tuone sasa

teh teh.....wakerewe wenyewe wameuchubua kama nini....hii inadhiirisha ni ukweli......
 
hiyo ya Tanga hata mimi nimewahi kusikia....tena kifuu kikikuuliza ukijifanya mkaidi.....basi mbele unakuta umezungukwa na bahari huna pa kutokea....duh.....Mkandara hebu kuja sawazisha mambo hapa.....
Kwani Mkandara anatokea Ukerewe????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom