Mwakyembe ndani ya kanisa la Gwajima; ashukuru kwa maombi akiri kulishwa sumu!

mi' siongei! namsubiri 2015 jimboni, maana kama waliomchagua wapo kanisani kawe, basi atarudi bungeni 2015. huyu jamaa ni mnafiki kule kwake urambo hakuna hata rami za ndani, shule za advance ni moja tuu jimboni kwake. Wakuu! huyu 6..hatofautiani na seif khatibu ambaye jimbo lake lote mtandao uliopo ni Zantel tuu, huu ni uhuni. wasitufanye watanzania mbumbumbu, sitta hana lolote
 
Sidhani hata kana yeye mwenyewe anajua kwa uhakika kilichomtokea. Yes, madaktari wanaweza sema tatizo lake limesababishwa na sumu fulani....lakini ni nani, wapi na lini sumu hiyo aliwekewa itabakia kuwa kitendawili kwake na hata madaktari. Uchunguzi kama huo wangeweza kuufanya polisi/ wapelelezi lakini kwa hapa kwetu ndio hivyo tena wote wameshanunuliwa!

huyo jamaa wa usalama anafahamu na dada aliyehusika anatoka naye kijiji kimeja na ameshafariki dunia lakini tatizo hapo wote wako hoi,mwandosya yuko hoi na lowassa yuko hoi na kama atafika 2015 labda ya Mungu lakini watu wote wa Lowassa jamaa hana tena uwezo wa kuongoza afya imedhoofika kupita maelezo
 
..sasa mwakyembe ndugu yetu unaibukia kwenye majukwa ya dini za kijanja-kijanja ndugu?..mbona hizo ni kama dalili za desparations mh daktari?..

lakin haya bana
 
..sasa mwakyembe ndugu yetu unaibukia kwenye majukwa ya dini za kijanja-kijanja ndugu?..mbona hizo ni kama dalili za desparations mh daktari?..

lakin haya bana
issue ya dini muachie mwenye kuabudu...!
 
Kuna nini? Mbona thread hii haieleweki?

inaeleweka sana..we uko wapi mkuu hapahapa mjini?
Basi ni hivi leo Mwakyembe,Sitta na Ane Kilango walikuwa kwa yule mchungaji tapeli hapa mjini Gwajima wanatolewa mapepo..basi walipoanza kukemewa kwa jina la bwana wa nazareth wakaanza kunena kwa lugha...mara ooh nimelishwa sumu...mara ooh ipo siku...mara sijui hatuko salama...yani ilikuwa ni vituko tu kwenye nyumba ya bwana.
 
Haha kawaida yake jamaa kujichanganya kwenye posts zake .

Kweli kabisa, kuna thread ina mzunguzia jinsi anavyoandika mambo yake...kaaazi kwelikweli, au labda anatumia touch screen maana nayo yahitaji shule vinginevyo arudi kwy hizi za kwetu Nokia 61i.
 
mh sitta anne kilango ndio nani!? Hebu tulia na uandike vizuri! Sio unaandika kama unakimbizwa kama unavuta bangi acha kwanza!

Huyu kawaida yake kwenye uandishi, kaanzishiwa hadi uzi kule kwenye jukwaa la malalamiko!
 
Nadhani Mwakyembe hana haja ya kuendelea kulalamika na kusubiri kupewa pole,kwa nini asiuseme ukweli??? je anauficha kwa maslahi ya nani?
 
mi nikisoma habari za Pdidy naishia kufurahis kwa uandishi wako tu. yaani sometime ilibidi kila bandiko lako cc iedne kwenye jukwaa la jokes
 
inaeleweka sana..we uko wapi mkuu hapahapa mjini?
Basi ni hivi leo Mwakyembe,Sitta na Ane Kilango walikuwa kwa yule mchungaji tapeli hapa mjini Gwajima wanatolewa mapepo..basi walipoanza kukemewa kwa jina la bwana wa nazareth wakaanza kunena kwa lugha...mara ooh nimelishwa sumu...mara ooh ipo siku...mara sijui hatuko salama...yani ilikuwa ni vituko tu kwenye nyumba ya bwana.
Heeee! yaani imefikia viongozi wetu kuwa ktk kiwango cha kutolewa Mapepo!..... ama kweli tumekwisha.
 
Mimi binafsi naamini Mwakyembe anaumwa na laana ya watanzania ya kwanini aliisoma nusu ile ripoti ya Richmond? Inaelekea Mwakyembe alikuwa na chuki binafsi na Lowassa. Alisoma sehemu ambayo waziri mkuu tu anahusika halafu kwingine akaficha!! sasa hiyo laana/dhambi itampeleka kuz--u!

Ni kweli kabisa ubinafsi na usaliti wake kwa wananchi kwa kuficha siri ili kumpendezesha mkulu ili ampe cheo ndio unamfanya ateseke hapa duniani na pengine hata ahela; pengine angesema kile alichokificha katika ripoti ya tume ya Richmond ,saa hizi tusingekuwa na taabu za maisha zinazotuathiri kwa sababu ya utawala uliopo!!
 
Back
Top Bottom