Mwakyembe na Sitta

Jan 5, 2011
84
5
Hawa jamaa wapo kimya kinoma baada ya kupata uwaziri wamefungwa midomo kabisa, afadhali wajiuzulu nyadhifa zao za uwaziriri ili waweze kuhoji vizuri malipo ya kampuni hewa ya kufua umeme ya DOWANS.
 
..wapo kimya kama maji ya mtungini sasa hivi.

..sana sana mtawasikia wanawashambulia CDM.
 
Wakati akili ikizidiwa nguvu na tumbo mara zote binadamu hupungukiwa na uwezo wa kufikiri, utokwa na maneno kana kwamba anatapika, sijui kwanini matapishi unuka kama kinyesi!!
 
Hawa jamaa wapo kimya kinoma baada ya kupata uwaziri wamefungwa midomo kabisa, afadhali wajiuzulu nyadhifa zao za uwaziriri ili waweze kuhoji vizuri malipo ya kampuni hewa ya kufua umeme ya DOWANS.

inaonekana hamjui kinachoendelea nchini, hao jamaa wawili wameisha sema sana na kutoa misimamo binafsi dhidi ya dowans.

Unataka wajiuzuru ili iweje????????????/
 
Leave them alone, they showed previously to be against Jk's cabinet, wht else would you like them to do we are still together with them.
 
What do you want them to say while they gave their views before cabinet meeting, after cabinet decision they can't go against unless they resign!!!:A S 13:
 
Misimamo yao walishaiweka wazi kwa wananchi kupitia bunge,je na wewe kama mwananchi umefanya nini after that?! Jiulize na wewe kwanza...
Au unazania yale yalikuwa maigizo/komedi walitoa? Msipende kuleta majungu yasiyo na msingi
 
Hawa jamaa wapo kimya kinoma baada ya kupata uwaziri wamefungwa midomo kabisa, afadhali wajiuzulu nyadhifa zao za uwaziriri ili waweze kuhoji vizuri malipo ya kampuni hewa ya kufua umeme ya DOWANS.

Wanajipanga 2015!!! Sita atapigania urais, mwakyembe makamu raisi!!
 
Kuna kampuni lulani ya kimarekani wanataka kuanzisha mradi muheza tanga ila wanauliza in network gani wanaweza kuchukua? waliuliza zantel ila inaonekana zantel hawana coverage maeneo hayo, P lease naombeni mnijuze
 
Ndio maana siasa ni mchezo wa ajabu na machfu
subiri ikifika 2013 kuelekea 2015 utashangaa.

  • Kusikia hata Lowasa anaanza kusema aliafanya makosa kwa dowans sababu wasaidiz wake hawakuwa makini na aliwaamini
  • Samuel sitta ndiyo ataanza naye kufoka kwa sauti
  • Anne Kilango
kuelekea 2015 naona CCM itawaaka moto. Ni muda wa vijana wa CCM walio makini kukiteka chama kutoka kwenye makucha ya wazee. Otheriwise ..........

Itabidi watumie mbinu kama waliyotumia kwa sita bungeni . Zamu ya kina mama

teh teh teh.
 
Hawa jamaa wapo kimya kinoma baada ya kupata uwaziri wamefungwa midomo kabisa, afadhali wajiuzulu nyadhifa zao za uwaziriri ili waweze kuhoji vizuri malipo ya kampuni hewa ya kufua umeme ya DOWANS.

siuoni ukimya wao unaozungumzia!!! walishasema na kueleweka; wataka waseme nini zaidi??!!
 
What do you want them to say while they gave their views before cabinet meeting, after cabinet decision they can't go against unless they resign!!!:A S 13:

Wanaofuatilia ni kwamba kabla ya baraza la mawaziri walisema sana. Ila baada ya hapo hawawezi tena isipokuwa wajiuzuru. Ni kwa watz sasa kubeba bango.
 
Baba yao Rostam anawajua wote na udhaifu wao. Nani anakumbuka reaction ya Sitta Slaa alipohoji ukubwa wa mishahara ya wabunge! Na kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Sitta alisema nini kuhusu sera ya CDM ya elimu bure? Sitta ni mmoja wa mafisadi waliotukuka ndani ya chama lao la mafisadi.
 
Back
Top Bottom