Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

Kwa nini apelekwe India wakati hospitali ya maana ya MUHIMBILI ipo?

huu ndio ufisadi wenyewe...muhimbili wa avifaa na madaktari

ikishindikana si wampeleke hapo Nairobi hospital

why India?
Wako na tecnologioa ya juu katika maswala ya afya kuliko bongo,Kip ur mouth shut yakikukuta utaomba michango kwa ndugu jamaa na hata marafiki kama ni harusi vile. Pole mwanaharakati wetu from the inside.
 
Hao ni Dowans kwa sababu wanajua akiwepo mwakyembe hakuna kitakacho pita kwani anasiri nyingi ambazo hawakuziweka wazi wakati wa uchunguzi wa kamati teule.

kama ni kweli uyasemayo, basi bora afe tuendelee kupunguza idadi ya wanaotetea ufisadi. ni kwa sababu zifuatazo.
1. walitumia hela nyingi sana kubaini ufisadi ili wawaumbue na kuwatoa kwenye viti vya maamuzi, wao hawakufanya hivyo, waliumbua nusu, nusu nyingine wakabaki nayo na kuendelea kuwatishia eti wakiwaudhi wataweka hadharani kila kitu.
2. hana tofauti na wale wazee wanaokumbatia taaluma fulani ambayo ni potential kwa maendeleo ya jamii, wanapokufa hufa nayo. Huyu ndo Mwakyembe. bora afe tujue hatuna mtu kama yeye.
 
Twendeni taratibu - ngojeni kupambazuke taarifa zaidi zitakuwa wazi. Tusianze kujenga minara, majengo, kuchimba mitaro na mahandaki. Mnaulizwa mbona mnajiandaa kama kunakuja vita? majibu "tumeambiwa kuwa Adui anakuja"....

nhanhaa; "tumeambiwa kuwa adui atakuja"
 
mkuu faiza, mwakyembe alisha ituhumu serikali yake zaidi ya mara mbili wakitaka kumuua hivyo lolote likimpata mwakyembe mbaya hata mtoto wa la kwanza atasema ni CCM na kwa kuwa ccm na dowans ni mapacha hatuwezi kuwatofautisha..hata hivyo mkifanikiwa kumuua mwakyembe hatakuwa wa kwanza wala washisho..vipi wa igunga amepona?

Tupe ushahidi wa hizo shutuma alizotuhumu Serikali yake. Usitake kutubandika mawazo yako vichwani mwetu
 
Ndugu wana JF hizi ni taarifa za uhakika kabisa, Dr. Mwakyembe Kapewa sumu amevimba mwili mzima hali ni mbaya nilipopata habari hizi walikuwa wanafanya mpango kumkimbiza India. Nitarudi nikipata habari kwa undani

Nawakilisha

Mkuu, kumbe unaweza kuisadia polisi unajua kama kapewa sumu.
Na kwenye heanding umesema kalishwa sumu
 
Pole Dr kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth nakuombea upone mapema, huu ni mkakati ule ule ambao police hawakutaka kufuatilia, walipewa taarifa wakaweka chini ya meza, haya leo yanatokea. Mungu atuhurumie na akujalie upone haraka urudi nyumbani kupinga ufisadi.

kama mwenyewe alificha baadhi ya madudu akidhani ni kuwahurumia, kwa nini wao wasimwinde kwa kuhofia kulipuliwa tena? BEPARI hana rafiki, bora ukamfanyia yampasayo mapema ili kumpoteza, ukileta kujuana watakumaliza wewe. Mwakyembe alishajichongea kaburi lake mwenyewe kwa kutoweka kila kitu wazi kwenye taarifa yake ili hali anajua kuwa alipewa pesa za umma ili awaumbue. Afe tu tuendelee kuwapunguza mafisadi wa aina yake.
Yawezekana aliwahifadhi ili apate hongo ya uwaziri, kaishia kupewa unaibu waziri.
 
Huku tunakopeleka sasa kwa mwendo huu nahisi iko siku kuna mwanasiasa anaweza kupigwa risasi hadharani

Hicho ndicho kinachotengenezwa na watawala. Mwakyembe amewahi kutoa taarifa ya watu waliokuwa wametumwa kumuua, tena watu toka nje ya nchi, serikali ilifanya nini pamoja na details zote alizotoa ikiwa ni pamoja na namba za magari waliyotumia zilizoonyesha dhahiri wametumwa na nani? Tunakoelekea sasa ni kila mtu afanye analoweza kufanya kwani hatuna serikali.
 
mkuu kwani hujamsoma mwita25, ni kwamba anadai kavua magamba na sasa yuko upande wa peoplessssss....

upande wa peoples hawezi na hatumtaki. kwani peoples power haiumi maneno. kama una ushahidi unasema tu. sasa yeye alikuwa na taarifa mhimu ambazo kama wangekomaa, zingepelekea serikali kuanguka, akazifinya, akazificha, lengo awatetee wasianguke. hakujua kuwa kufanya hivyo ni kujiandalia kaburi lake mwenyewe. Afe tu, kesha jichongea kaburi, kesha jiandaa kufa.
 
Ndugu wana JF hizi ni taarifa za uhakika kabisa, Dr. Mwakyembe Kapewa sumu amevimba mwili mzima hali ni mbaya nilipopata habari hizi walikuwa wanafanya mpango kumkimbiza India. Nitarudi nikipata habari kwa undani Nawakilisha
Kuna ukweli wowote? Maana kuna wakati fulani mtu mmoja aliibuka hapa na habari kwamba Lowasa karibu tunazika lakini tunamuona bado anapeta tu!
 
Hicho ndicho kinachotengenezwa na watawala. Mwakyembe amewahi kutoa taarifa ya watu waliokuwa wametumwa kumuua, tena watu toka nje ya nchi, serikali ilifanya nini pamoja na details zote alizotoa ikiwa ni pamoja na namba za magari waliyotumia zilizoonyesha dhahiri wametumwa na nani? Tunakoelekea sasa ni kila mtu afanye analoweza kufanya kwani hatuna serikali.

FF huwa hasomi shahidi kama hizi. anaomba tumletee ushahidi. controversial incidence zote za Mwakyembe hazijawahitolewa ufafanuzi na wanojiita wanapeleleza.
 
Hicho ndicho kinachotengenezwa na watawala. Mwakyembe amewahi kutoa taarifa ya watu waliokuwa wametumwa kumuua, tena watu toka nje ya nchi, serikali ilifanya nini pamoja na details zote alizotoa ikiwa ni pamoja na namba za magari waliyotumia zilizoonyesha dhahiri wametumwa na nani? Tunakoelekea sasa ni kila mtu afanye analoweza kufanya kwani hatuna serikali.

kosa la Mwakyembe ni kutowamaliza mafisadi, aliamua kuwalea wao wanamuona kama mwiba. lazime alipe gharama hiyo ya mafisadi kulipuliwa nusu. kama angeweka wazi tangu siku ile mjengoni, mwakyembe angekuwa huru, na hao mafisadi wangekuwa jela saa izi, asingekuwepo wa kumfuatilia.

yeye aibaki na taarifa nyeti za mafisadi hao, lazima wamwinde asije waharibia zaidi. "...Ukicheza na nyani, utavua mabua..." By Mpoto.
 
Huku tunakopeleka sasa kwa mwendo huu nahisi iko siku kuna mwanasiasa anaweza kupigwa risasi hadharani
Kweli yanaweza kutokea hayo tuombe Mungu aingie kati. Hivi wanayolisha watu sumu au kusingizia watu wamekufa wanajiona wataisha milele????
 
Kuelekea mbio za uraisi 2015 naona magamba wanawamaliza wale wote wenye kutishia kupita kwa 'yule wamtakae'
1. Walianza na Lowassa, saiv tunamuona kila siku Nigeria anaombewa (watu wake wa karibu wanasema hali yake si nzuri)
2. Wakaja kwa Mwandosya (Watu wake wa karibu wanasema nae hali yake si nzuri)
3. Wamekuja kwa Mwakyembe

Next? Sitta?
 
Tupe ushahidi wa hizo shutuma alizotuhumu Serikali yake. Usitake kutubandika mawazo yako vichwani mwetu

mkuu labda kama unataka tubishane tu lakini taarifa licha ya kuwa ziko polisi hata humu JF zipo ya kwanza ile ya ajari na ya pili ni ile ya Al-shabab...
 
Back
Top Bottom