kulingana na post iliyowekwa leo alfajiri yenye title hii RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/2011
kulingana na post iliyowekwa leo alfajiri yenye title hii RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/2011
Mkuu naomba source ya hii ripoti
Tusiwe tunaombea mabayathe centre cannot hold....things falls apart......hii inchi soon italipuka.....
mungu atulinde.....
inajulikana na kila mtu kuwa Lissu ni critic mkubwa wa kile kiti kikubwa (presidency).Matukio ya namna hii yameanza miaka mingi sana iliyopita, sio kwa Tanzania tu hata ulimwengu wa kwanza yapo enzi na enzi.
Alexander Litvinienko, former KGB officer, aliwekewa sumu ya polonium akafa taratibu tena kwa uhakika. Hapo ni Russia na huko kuna umafia hatari.
Anna Politkovskaya, former journalist and human right activist, alimpinga sana Vladimir Putin hasa kwenye vita ya Chechen(Chechnya), alinyamazishwa na leo ni historia.
Haya yapo, hayataisha coz dunia hii ni ya dhambi na uasi.
Tunamuombea Lissu.
Huku tunakopeleka sasa kwa mwendo huu nahisi iko siku kuna mwanasiasa anaweza kupigwa risasi hadharani
Nimekupa mfano wa Anna Politkovskaya, a direct critic to Vladimir Putin kwenye vita ya Chechnya. Hujaelewa chochote hapo?inajulikana na kila mtu kuwa Lissu ni critic mkubwa wa kile kiti kikubwa (presidency).
apparently, Lissu amesukumwa kufanya hivyo baada ya kuona kuna mismanagement na abuse.
hii ndiyo sababu pekee inayowafanya watu wawe na ujasiri wa ku-single out the "who".
sasa linganisha na hiyo mifano yako mengine kama wahanga walikuwa wanaki-attack kiti as directly and as openly as Lissu has been doing.
sorry, I meant kwa Tanzania.Nimekupa mfano wa Anna Politkovskaya, a direct critic to Vladimir Putin kwenye vita ya Chechnya. Hujaelewa chochote hapo?
Pitia link hii ya assassination za political figures huko marekani ndio utajua hakuna nchi iliyoko salama.
List of assassinated American politicians - Wikipedia