Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

CCM wauaji sana.....

Habari za ndani zinasema alitofautiana na Magufuli juu ya mradi wa barabara ya Mtwara

Acha unafiki kijana! Be yourself! Ww unaweza kusema ccm wauaji!? Au unaundugu na Mwakyembe kwahiyo nafsi inakusuta!?
Umewatetea ccm walipom'mwagia mtu tindikali, kuchoma nyumba ya m/kiti wao wa kijiji na hata katibu alipomwingilia mke wa mwanachama wake huko Igunga. Iweje leo umegeuka hivyo? Au umepata wokovu?
Halafu kutofautiana kimawazo na mwenzio mbona ni jambo la kawaida? Kutofautiana kwake na Magufuli kunahusiana nini na kupewa kwake sumu! Unataka kumuhusisha magufuli kwenye hilo?
Nina mashaka umeanza kutumiwa na wengine baada ya uchaguzi wa Igunga...! Otherwise huu ni unafiki wa hali ya juu sana.
 
Kwanini kama kweli ni sumu ihusishwe na Dowans? Na CCM? Hivi, mleta mada anasema "kapewa" ina maana anajuwa ni nani kampa. Ingekuwa hajui asingesema "kapewa".

Kama kapewa au hajapewa sidhani kama kuna mantiki ya kuihusisha hiyo sumu na Dowans, kwani Mwakyembe ana ugomvi upi na Dowans? Mie naona Dowans wame/wana faidika na report ya Mwakyembe. Kwa nini isiwe wengine, ndio maana juu huko nikauliza kapewa na Mkewe? Kwani sumu ya kupewa bila kujuwa mara nyingi hutiliwa kwenye chakula au vinywaji. Na nadhani kwa mtu wa "caliber" yake atakuwa ni mtu wa kutayarishiwa vinono na mkewe au alikuwa na kimada wa nje?

Naomba tusirukie hukumu kabla hatujajuwa ni nini kilichomsibu. Aliyeleta hii mada kaileta kiudaku udaku na anaonesha ni mzoefu wa JF lakini kwa nini afunguwe ID mpya kuileta hii habari? Mdaku huwa anaogopa na mafataani ndio zao hizo. I already have a clue "in my mind" ni nani awezae kufanya haya ya udaku wa namna hii, atakuwa ni mzoefu wa massmedia na kuitumia kwake.

Sioni sababu iwe siri. Kuna watu hutumia kila fursa kuwa ni turufu zao kisiasa. Hata akiumwa kawaida bila kupewa sumu wao wakipata taarifa itakuwa ni turufu yao kisiasa.

Kwanini isiwe ni ugonjwa tu wa kawaida kama magonjwa mengine? Kwani Mwakyembe si binadam na hawezi kuuguwa?

Tuwache kukamatana uchawi wakati Mwakyembe yu hai tumuombee uzima na tumuombee apone kama ni mgonjwa. Sumu inayovimbisha mwili sijawahi kuisikia, inaitwa "bunju"?.
 
Kwanini kama kweli ni sumu ihusishwe na Dowans? Na CCM? Hivi, mleta mada anasema "kapewa" ina maana anajuwa ni nani kampa. Ingekuwa hajui asingesema "kapewa".

Kama kapewa au hajapewa sidhani kama kuna mantiki ya kuihusisha hiyo sumu na Dowans, kwani Mwakyembe ana ugomvi upi na Dowans? Mie naona Dowans wame/wana faidika na report ya Mwakyembe. Kwa nini isiwe wengine, ndio maana juu huko nikauliza kapewa na Mkewe? Kwani sumu ya kupewa bila kujuwa mara nyingi hutiliwa kwenye chakula au vinywaji. Na nadhani kwa mtu wa "caliber" yake atakuwa ni mtu wa kutayarishiwa vinono na mkewe au alikuwa na kimada wa nje?

Naomba tusirukie hukumu kabla hatujajuwa ni nini kilichomsibu. Aliyeleta hii mada kaileta kiudakuudaku na anaonesha ni mZoefu wa JF lakini kwa nini afunguwe I'd mpya kuileta hii habari. Mdaku huwa anaogopa na mafataani ndio zao hizo. I already have a clue "in my mind" ni nani awezae kufanya haya ya udaku.

Sioni sababu iwe siri. Kuna watu hutumia kila fursa kuwa ni turufu zao kisiasa. Hata akiumwa kawaida bila kupewa sumu wao wakipata taarifa itakuwa ni turufu yao kisiasa.

Tuwache kukamatana uchawi wakati Mwakyembe yu hai tumuombee uzima na tumuombee apone kama ni mgonjwa. Sumu inayivimbisha mwili sijawahi kuisikia inaitwa "bunju"?.

You can run but you can not hide!!!!!!!!!!!!!!
 
Rwanda kwa sababu ya mtu mmmoja?

hebu tupumzishe sie

Mbona Kigoma Malima naye alilishwa sumu na hamkusema kuwa Rwanda itatokea?

Bila kusahau IMRAN KOMBE mlimuua na maisha yameendelea kama kawaida

hata magufuli alilishwa sumu akaenda kuponea ujerumani..ccm wauwaji
 
ya kweli hayo!?

BobT
Join Date : 7th October 2011
Posts : 1
Thanks :0 Thanked 0
Times in 0 Posts
Rep Power : 0

mkuu sikigezo chakumfanya asitowe habali kufatana na unyeti wa habali. wengi wanatumia majina bandia wenyeuchumgu na nnchi yao wanatumia jf kutowa dukuduku zao wengine wapo selikali ya ccm wengine ni wana ccm pakusemea ni jf ukondani wakisema hawasikilizwi kama nikweli hata huyu muze kunajambo(mwandosha) mwakyembe kesho nani
 
No, no no; wanajamvi there is something more sinister than all the wording in Rejao, Mwita25 and FaisaFox can tell to the third ear listening to the intonnations between their heat-beats humu ...

Lakini, wakati ambapo Wa-Tanzania tunawaombe kupona haraka hawa viongozi wetu kutoka Mkoa wa Mbeya, napenda niwajulishe MA-FISADI hapa nchini na chama kinchowafuga kwamba wao wawaombee mara mia kupona haraka na kurudi nchini bila gogoro lolote la kiafya baada ya hizo sumu kutolewa maana tofauti na hapo ....

... udongo ukigeuka mwekundu Mbeya na kwenu pia iwe hivo hivo!!!!!!!!!!!!!!

Kwa wale waliokwishapitia hizi posti moja baada ya nyingine bila shaka utakubaliana na mimi kwamba mwenye sumu yake huyo amekuwa kwenye kivuli cha Dr Mwakyembe kwa muda mrefu na pale kulipoonekana hiyo THEORY ya 'Kutofautiana Maoni' (Mwiita25 et al, 2011 ambaye ni "Mkuria" mwenye "shangazi" yake Mbeya kama ambavyo alivyowahi kusema kiajali humu) kwa Mheshimiwa na bosi wake basi ndipo pakaonekana kuwa ni kipenyo cha kufanyia maovu yote hayo ili lawama zikamuangukie Maghufuli na wala si wale ambao historia inawafahamu fika. !

Nilikuwa sijui..kumbe invisible una ID ya njano?
 
Ndugu wana JF hizi ni taarifa za uhakika kabisa, Dr. Mwakyembe Kapewa sumu amevimba mwili mzima hali ni mbaya nilipopata habari hizi walikuwa wanafanya mpango kumkimbiza India. Nitarudi nikipata habari kwa undani

Nawakilisha

Kazi ya Kikwete haina makosa
 
mkuu sikigezo chakumfanya asitowe habali kufatana na unyeti wa habali. wengi wanatumia majina bandia wenyeuchumgu na nnchi yao wanatumia jf kutowa dukuduku zao wengine wapo selikali ya ccm wengine ni wana ccm pakusemea ni jf ukondani wakisema hawasikilizwi kama nikweli hata huyu muze kunajambo(mwandosha) mwakyembe kesho nani
Kama ni kweli, Sita, Sendeka, Lembeli,.......wajiandae.
 
Kwa nini apelekwe India wakati hospitali ya maana ya MUHIMBILI ipo?

huu ndio ufisadi wenyewe...muhimbili wa avifaa na madaktari

ikishindikana si wampeleke hapo Nairobi hospital

why India?

kuwa muelewa wewe! Watu wakubwa kama mwakyembe si wakutibiwa Muhimbili au koko East Africa, wanawindwa na mafisadi kila kukicha hivyo wana hofia usalama!! Umesikia kapewa sumu,akipelekwa hapo si ndo wanamaliza kabisa?? Nchi yenyewe imeshaoza hii!
 
Kwanza habari hii siiamini kabisaaaa!!! Mtoa mada anaonekana mzoefu tu humu jamvini; lakini anaonekana ka-join 07/10/2011 na ka-post thread moja tu ambayo ndiyo hiyo hiyo cha kuwekewa sumu! Ina maana hakuwahi kuwa member na akaamua kuwa member ili tu atoe hiyo habari?! Na kama hivyo ndivyo; then WHY?! Au labda ndio yeye katekeleza hilo zoezi ( la kumuwekea sumu) kisha akaamua kutumia ID nyingine tofauti na ile iziyozoeleka kisha akaja kutuhabarisha kwamba ameshafanya huo umafia. Likewise, kama ni kweli, basi ni kheri apelekewe huko huko India manake hata kama hilo tatizo la sumu ni la kawaida(xdentally food posisoning) basi akipelekwa Muhimbili halafu (god forbid) akafa; wapo watakaosema "alipofikishwa muhimbili hakuwa ameathirika sana lakini wakammalizia palepale!"

Hata hivyo, sizani kama kuna mpuuzi wa kumwua Dr. Mwakyembe kwa staili kama hiyo ambayo inaweza kutumiwa na un-professional killer/planner peke yake. Watu walio na bifu na Mwakyembe sio unprofessional mafia kiasi hicho otherwise iwe ni wanyakyusa wenzake wa huko huko kyela! Halikadhalika, haiwezi kuwa CCM wala RA, ambao wote ni professionals ambao wakitaka kufanya umafia kwa mwakyembe; hawawezi kutumia weak technique kama hiyo!na kama ni CCM, basi ni CCM ya kyela!

But all in all, anything can happen! am very cautious with Dr. Mwakyembe! Huyu mtu ni mjanja sana na ni hodari wa kucheza sarakasi na maigizo!! Huyu jamaa is capable hata yeye mwenyewe kunywa sumu ambayo anajua (kwa kushauriwa) kuwa haiwezi kumuondoa uhai ili tu kucheza sarakasi zake! Ukilifikiria kwa haraka haraka, unaweza kutoona mantiki yake; but for mwakyembe is possible!
What exactly are you trying to say?
 
For a few dollars more?

mkuu faiza, mwakyembe alisha ituhumu serikali yake zaidi ya mara mbili wakitaka kumuua hivyo lolote likimpata mwakyembe mbaya hata mtoto wa la kwanza atasema ni CCM na kwa kuwa ccm na dowans ni mapacha hatuwezi kuwatofautisha..hata hivyo mkifanikiwa kumuua mwakyembe hatakuwa wa kwanza wala washisho..vipi wa igunga amepona?
 
Pole Dr kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth nakuombea upone mapema, huu ni mkakati ule ule ambao police hawakutaka kufuatilia, walipewa taarifa wakaweka chini ya meza, haya leo yanatokea. Mungu atuhurumie na akujalie upone haraka urudi nyumbani kupinga ufisadi.
 
Hao ni Dowans kwa sababu wanajua akiwepo mwakyembe hakuna kitakacho pita kwani anasiri nyingi ambazo hawakuziweka wazi wakati wa uchunguzi wa kamati teule.
 
Ndugu wana JF hizi ni taarifa za uhakika kabisa, Dr. Mwakyembe Kapewa sumu amevimba mwili mzima hali ni mbaya nilipopata habari hizi walikuwa wanafanya mpango kumkimbiza India. Nitarudi nikipata habari kwa undani

Nawakilisha

alikuwa wapi kwani
 
Back
Top Bottom