Mwakyembe mgonjwa; afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima

Kwa nini apelekwe India wakati hospitali ya maana ya MUHIMBILI ipo?

huu ndio ufisadi wenyewe...muhimbili wa avifaa na madaktari

ikishindikana si wampeleke hapo Nairobi hospital

why India?
India ndo machinjioni.Law less
 
Ndugu wana JF hizi ni taarifa za uhakika kabisa, Dr. Mwakyembe Kapewa sumu amevimba mwili mzima hali ni mbaya nilipopata habari hizi walikuwa wanafanya mpango kumkimbiza India. Nitarudi nikipata habari kwa undani

Nawakilisha

Kapewa na nani sumu? Mkewe?
 
Hali yake kweli si nzuri, hii nadhani imetokea juzi au jana, nimejaribu kumtafuta kupitia simu yake lakini haikuwa ikipokelewa.

Kuugua ni kawaida kila binadamu anaugua.., ila hilo la sumu ndio linatisha sana.., hivyo basi ni vema akaangaliwa na kupatiwa matibabu yote, bila kusahau wachukue vipimo ili kujua ni sumu gani imetumika (kama ni kweli ni sumu) ili kesho keshokutwa waweze kujua ni kina nani alikutana nao na wapi na wakampa nini ili hao wachawi waweze kujibu kilichotokea
 
Imesemwa Freemasins wao wanaamini ni lazime watawale na atakayepinga utawala wao watamuondoa na RA ni freemason, hii sasa inaelekea kuthibitisha.

Hivi Freemasons unawafamu au unapoteza muda kusoma gazeti la Sani? Umewahi kukutana na Freemason yeyote aliyekwambia nia yao ni kutawala? Jumuiya hii imekuwepo kwa karne si chini ya tano na miongoni mwa viongozi wakubwa ambao ni masons waliowahi kuwepo kama Winston Churchill, Ehud Barak, Bill Clinton na wengineo wameongoza nchi zao na baada ya muda wao kuisha wakaja viongozi wengine ambao siyo masons.

Hii dhana ya kutawala dunia mnaitoa wapi, maana siku hizi kila mtu unayekutana naye anajifanya anaifahamu Freemasonry na karibu kila jambo la ajabu ajabu la kisiasa au kiuchumi utasikia wanaunganisha Freemasons humo.

Jaribu kuifahamu jumuiya hii vizuri halafu hutaishi kwa tetesi.
 
Hawa Dowans inaonekana wanajua kupigana vita vyote ambavyo wanaowapinga hawajui kupigana

Hao Dowans hawalishiki sumu?
 
Kuugua ni kawaida kila binadamu anaugua.., ila hilo la sumu ndio linatisha sana.., hivyo basi ni vema akaangaliwa na kupatiwa matibabu yote, bila kusahau wachukue vipimo ili kujua ni sumu gani imetumika (kama ni kweli ni sumu) ili kesho keshokutwa waweze kujua ni kina nani alikutana nao na wapi na wakampa nini ili hao wachawi waweze kujibu kilichotokea

wame establish wapi kuwa alipewa sumu?

inawezekana ikawa just food poisoning....

2011-09-21+17.38.43.jpg

Taaban!
 
Rwanda kwa sababu ya mtu mmmoja?

hebu tupumzishe sie

Mbona Kigoma Malima naye alilishwa sumu na hamkusema kuwa Rwanda itatokea?

Bila kusahau IMRAN KOMBE mlimuua na maisha yameendelea kama kawaida

Wewe vipi? wanaouwawa kimafia wanazidi kuwa wengi ndo maana mwenzio kasema Rwanda inanukia. kwa kweli Akili ni nywele
 
Hivi chuki na ugomvi wa Mwakalinga na Mwakipesile zidi ya Prof ulishakwisha? ha ha ha ha ha
 
Ndugu wana JF hizi ni taarifa za uhakika kabisa, Dr. Mwakyembe Kapewa sumu amevimba mwili mzima hali ni mbaya nilipopata habari hizi walikuwa wanafanya mpango kumkimbiza India. Nitarudi nikipata habari kwa undani

Nawakilisha

Ahsante kwa taarifa na upatapo zaidi utujuze jamani.Pole saana Dr Mwakyembe. Ila sasa wewe UNAWAKILISHA ikiwa na maana upo kwa niaba ya nani au ulikuwa UNAWASILISHA.
 
Ndugu wana JF hizi ni taarifa za uhakika kabisa, Dr. Mwakyembe Kapewa sumu amevimba mwili mzima hali ni mbaya nilipopata habari hizi walikuwa wanafanya mpango kumkimbiza India. Nitarudi nikipata habari kwa undani

Nawakilisha

Fafanua hapo kwenye red. "Kapewa sumu" gani, na nani, lini na wapi.
 
Rwanda kwa sababu ya mtu mmmoja?

hebu tupumzishe sie

Mbona Kigoma Malima naye alilishwa sumu na hamkusema kuwa Rwanda itatokea?

Mchawi akila mwanaye ,mtamfanya kitu?

Hiyo ndo serikali iliyoingia madakani kwa fitna ya kalamu (magazeti na kuchafua na kuiba kura) ....inasalia madarakani kwa mtutu wa bunduki (soft assassinations)....

Nyie bakini watazamaji tu...hayo ya serikali ya ccm hayawahusu..wakimalizana wenyewe ni juu Yao.....mbwa kala mwanaye!
 
sad news, mwalimu wangu nikiwa chuo wanataka kumfanyia yale ya kolimba na malima.
wanataka kumfunga mdomo, tukianza kumtafuta mchawi hapa tutakuta wengi na huenda ikawa sio wale magamba
tatizo la siasa unajijengea maadui kila pembe.
Ee mola mponyeshe dr wetu,damu ya Yesu imlinde. wanga na wasiomtakia mema washindwe na walegee kama umeme wa tenesco.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom