Elections 2010 Mwakyembe kuwa spika?

walonge

Member
Aug 1, 2010
25
3
Wadau wanachama wenye mapenzi mema na CCM na wapiganaji wa kweli wa maendeleo ndani ya chama hicho wameanza mkakati wakumtaka Mwakyembe aombe uspika. Ila habari zisizothibika kundi zito la mafisadi halitaki kabisa kusikia habari hiyo na kama kawaida yao wanataka mtu atakeyekuwa na maslahi nao na serikali kw aujumla. Je mnaushauri gani kwa hawa wachache wanokiangamiza wenzao ndani ya CCM?
 
mwakyembe mwenyewe ni fisadi wa kuwadanganya wanakyela kupeleka kiwanda cha matunda na cha kokoa! Pia mambo ya umeme wa upepo kule Singida na kusababisha mgongano wa maslahi na kuchakachua posho mbili kwa kazi moja!
 
Kwa CCM huyo ni Mwiba kama Magufuli kuwa Speaker.
Si unajua nchi iko chini ya mafisadi
 
Mwakyembe atafanyaje kazi kama Speaker? Atamudu kutii maagizo toka kwa Makamba na huku akalinda hadhi yake kama Speaker?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom