Mwakyembe chukua hatua haraka.

Goheki

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
448
387
Kwa taarifa hizi za ajali za meli za mara kwa mara,kuna haja ya waziri wa uchukuzi kufanya ukaguzi wa meli ya MV VICTORIA kwani taarifa zilizopo meli hii ni ya mwaka 1960 kwa sasa imekuwa haishi matengenezo na kuzimika mara kwa mara ziwani.
 
Unajihangaisha ndugu,
Serikali yetu huwa inasubiri kutoa rambirambi.
At least it the thing they are capable of excellent perfomance!
 
Naamini Mwakyembe ni mtu makini japo!
Hatutakubali kabisa kupokea rambirambi toka kwa serikali isiyo makini, na inayopeleka attention yake kusaini mikataba mipya huku ikitelekeza miundombinu mingine, maana inaonyesha kutokuwa na tija tena kwao!
 
Back
Top Bottom