Mwakyembe awaliza watu wa Kyela

I missed the newz clip on Dr. Harrison, let's hope it will be repeated in 2230hrs news edition by ITV. God bless all Patriotic Tanzanians!!!
 
Anajua kuwa wana ccm wenzake ndio wanataka kumuua kwa sumu!bora awe mtanzania kuliko mwana ccm
 
sielewi elewi hawa akina mwakyembe. Sasa kama amegundua ccm haifai kwanini bado yumo kwenye chama?
Mara atafte public sympath, mara aseme hivi mara vile nilikuwa namkubari sana siku za nyuma lakini sasa simuamini amini nimeanza kupima kwa makini kauli zake maana haeleweki eleweki.
 
umechelewa sana kugundua..huyu ni msanii aliyefuzu.
 
Mwenzake alikimbia, akasema ametukanwa sana, amedhalilishwa sana na ameonewa sana, kisa uwaziri mkuu, akasepa akabaki mbunge. Yeye anang'ang'ania nini U - naibu waziri? Kama siyo kuwa naibu waziri angelikuwa na akili zake timamu. Sasa leo nani anaamini maneno yake wakati alikuwa hospitalini? Kama alikuwa na tatizo la bone marrow, tunashindwaje kuamini kuwa ana matatizo ya akili. Hawezi kuwa VUGU VUGU, ni lazima achague either kuwa MOTO au BARIDI. Kama anabaki ccm, anakuwa BARIDI, akiwa moto watammalizia kwa sumu, kama anataka kuwa MOTO, aje ajiunge na jeshi la wapambanaji. ANAOGOPA NINI? AU ANAONA AIBU??? shauri yake.
 
akihutubia maelfu ya watu kyela, dr. Harrison mwakyembe kasema yeye ni Mtanzania sio CCM na akaongeze awale wanao jisifia kwamba wao ni CCM wanajidanganya kwani hakuna CCM bila taifa".

Kitu cha ajabu ni kwamba katika mkutano huo amewakaribisha hata viongozi wa chadema. Kiongozi wa CHADEMA ambaye amepata nafasi ya kuongea kasema;
Anayoyapigania Mwakyembe ndiyo CHADEMA tunapigania, sisi chadema tunapambana na ufisadi katika nchi hii kama Mwakyembe afanyavyo. Mungu amlinde Mwakyembe.

Source: ITV 20:00 leo

a comic opportunist, that one!
 
Taifa linamhitaji mwakyembe kuliko wakati wowote ili walivushe vinginevyo mafisadi watalimaliza,hongera kwa kuwakaribisha CDM kwani wote falsafa ni moja ya kutokomeza ufisadi na mafisadi wenyewe,Mh.tunakuombea upone kabisa ili mafisadi wauone moto wako,tunajua wanavyokuhujumu lakini tuko pamoja na wewe mpaka kieleweke.

Ni sawa kuendelea kukaa ccm kwani anapata siri nyingi za ccm kwani katika vikao vyao anaudhuria halafu siku zitakapokaribia basi anabwaga machanga. Kumbuka bila akina Mwakyembe Chadema hawatapata data za karibu acha waendelee kuwepo. 2014 wanahama kutoka kwenye chaama cha mafisadi
 
Moto wa gazeti hauivishi ugali!
Taifa linamhitaji mwakyembe kuliko wakati wowote ili walivushe vinginevyo mafisadi watalimaliza,hongera kwa kuwakaribisha CDM kwani wote falsafa ni moja ya kutokomeza ufisadi na mafisadi wenyewe,Mh.tunakuombea upone kabisa ili mafisadi wauone moto wako,tunajua wanavyokuhujumu lakini tuko pamoja na wewe mpaka kieleweke.
 
tatizo la kujidai anajua sana hadi anaharibu kwani kafunga ndoa na ccm si asepe km anaona aibu kuingia cdm aende adc, anajiona delicate sana mbona mwakyusa hajajitangaza km yeye na je angeumwa kama vengu ingekuaje?
 
Back
Top Bottom