Mwakyembe arejea nchini; afya yake yaimarika

Jamaa kwa kauli yake namfanansha na wale wabunge masaburi aliosema wanafikiri kwa kutumia .......huwez mkashifu mtu,kama huamin alyo ya sema unge mpotezea na sio kumtukana sjapenda.
 
Acha kupima upepo! Nikikutukana utaanza kulalamika. Tumeshaukataa huu upumbavu wa kupost taarifa zisizo na source!
Hizi ni hisia za mtu ambaye daima ni pessimistic when it comes to good news juu ya Mwakyembe!
Roho mbaya huwa ni vigumu kuificha.
Sikiliza ITV News ya jioni Leo.
 
Kwa mtaji huu wana jf tutafka kweli?wanatumia watu tofauti kiumri,kifikira,kiuchumi na mengineyo sasa pale mtu anapo tumia kama huyu jamaa haleti maana.nasubutu kusema labda wanabifu hawa na kama ndo hvyo basi hapa sio sehemu yake.mungi mwombe ndugu radhi kwan alicho kisema n kwel na kwenye taarfa za habary karb television zote zme onyesha mwanafamilia akielezea urejeo wa mwakiembe.jambo hl allo fanya ndungu lmenchefua.
 
['-\
'

Chu Wamukhafia ndende mbuyane, nimesikia ITV kwenye taarifa ya habari msemaji wa familia akisema kuwa mh afya yake ni njema kabisa

Asante sana Mkuu, hii ndiyo taarifa tunazopenda kuona, you should have source of your information as a great thinker, siyo kukimbilia kupost utadhani unawahi mtukuru! Let it be the lesson upon him/her for the future! I'm sure IFAGHAA didn't read the Jf rules, that is why he/she just posted the thread with no source! How shame is he/her?
 
Kwa mtaji huu wana jf tutafka kweli?wanatumia watu tofauti kiumri,kifikira,kiuchumi na mengineyo sasa pale mtu anapo tumia kama huyu jamaa haleti maana.nasubutu kusema labda wanabifu hawa na kama ndo hvyo basi hapa sio sehemu yake.mungi mwombe ndugu radhi kwan alicho kisema n kwel na kwenye taarfa za habary karb television zote zme onyesha mwanafamilia akielezea urejeo wa mwakiembe.jambo hl allo fanya ndungu lmenchefua.

nimeshamwomba radhi, lakini awe makini anapopost taarifa. Sikuhizi watu kama sisi tumehamisha imani zetu Jf, kwahiyo mtu anapopost taarifa zisizo na chanzo huwa napata hasira, ukizingatia my body always speaks.
 
Mwakyembe na kamati yake ya Richmond waliteketeza million 400 za wanyonge watanzania katika kufanya uchunguzi wa Richmond. Mwisho wa siku wakatuletea report nusu[incomplete??] kuhusu Richmond. Leo hii kuna watanzania wanamuonea huruma Mwakyembe, shame on them. Ingekuwa China Mwakyembe angekuwa ameshanyongwa kwa unafiki wake.
Shame on you and your blind support for the greatest fisadi our country has ever had. Shame on you!
 
hakuna matusi acha kulalama wewe! Siku zingine tumia akili unapotoa taarifa, siyo unakimbilia kupost habari zisizo na source. Mimi huwa mstaarabu sana, lakini siyo mnyonge kusema. Narudia tena kuwa hii ni Jf, lazima upost taarifa zako kama Great Thinker, Jf siyo facebook kuwa makini IFAGHAA. Sorry for inconvenience caused! Kuna thread asubuhi iliyomhusu Mwakyembe ilisababisha kidogo nitupe simu kwenye mtaro, nikadhani na wewe ni wale wale!

sio kila kitu utegemee chanzo. Hata wewe mwenyewe waweza kuwa chanzo. Ni sawa na ufupi wa busara yako mpaka ukadiriki kutukana, alafu useme chanzo chake ni hoja ya mwakyembe kurudi akiwa amepona. Jitambue kabla hujatambuliwa.
 
hakuna matusi acha kulalama wewe! Siku zingine tumia akili unapotoa taarifa, siyo unakimbilia kupost habari zisizo na source. Mimi huwa mstaarabu sana, lakini siyo mnyonge kusema. Narudia tena kuwa hii ni Jf, lazima upost taarifa zako kama Great Thinker, Jf siyo facebook kuwa makini IFAGHAA. Sorry for inconvenience caused! Kuna thread asubuhi iliyomhusu Mwakyembe ilisababisha kidogo nitupe simu kwenye mtaro, nikadhani na wewe ni wale wale!
Wakati mwingine ukisoma post za baadhi ya wanajf unafurahi kuwa huyu ni great thinker. Akija na ***** mwingine unaona kuwa huyu anaukichaa wa vipindi. Hivi wana jf niulize, mtu akitoa source ya habari does it make that habari credible? Maana chorus ya source imezidi mno. Mimi ninachojua soure of information can be any thing including mleta mada mwenyewe. Sasa tusitumie neno hili ku-derogate wengine.
 
Kwani akisambaratishwa wewe utapungukiwa nini? zaidi ya kupunguza idadi ya wanafiki nchini!

Nadhani polisi wanatakiwa wapite humu, yawezekana wewe ni kati ya wale anaowatuhumu kutaka kumuua. Unaweza kuisaidia vizuri polisi. Au wewe unaonaje mkuu?
 
aripoti kazini wapi? Ngozi imejikunya mpaka inambana halafu unasema eti ataripoti kazini!!! Hebu tupisheni hapa

akili hizi ni za mnyama kama kweli anaweza kuwa na akili. Binadamu wa kawaida sidhani kama anweza kupost kitu kama hiki
 
Halisi asante kwa hili, wito kwa wana jf wa zamani, irudisheni ile jf tuliyoikuta enzi hizo na ndio jf baadhi yetu tuliojiunga nayo!.

ni kweli. Wakati najiunga 2009 jf ilikuwa jf kweli. Sasa kuja 2010 hadi leo imekuwa balaa tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom