Mwakyembe is useless politician. Mnafki kama Samuel Sitta.
Jitu lenye uchu wa madaraka kama Mwakyembe aache ulaji wakati Ripoti ya kisanii ya Richmondi ilijaa visasi vya kuukosa uwaziri mkuu swahiba wake Samuel Sitta!!....Hivi mwakyembe kwanini asiachie madaraka ili aweze kujitibu na kujipanga kupambana na fisadi lowasa na TISS
Halisi asante kwa hili, wito kwa wana jf wa zamani, irudisheni ile jf tuliyoikuta enzi hizo na ndio jf baadhi yetu tuliojiunga nayo!.Katika siku za karibuni, kumekua na watu kadhaa ambao wamekua wakimzulia KIFO Naibu Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Kyela, mpambanaji Dk. Harrison Mwakyembe. Baada ya taarifa hizo, watu wa karibu na mwanasiasa huyo ambaye ugonjwa wake umehusishwa na madhara yatokanayo na sumu, wamezungumza naye mara kadhaa jana na leo na kubaini kama ni mzima na afya yake inazidi kuimarika na kuwa bora zaidi ya siku anakwenda India kwa matibabu. Mmoja wa aliyezungumza naye alisema;
"Kuna post imetumwa jamii forums kwamba dr mwakyembe amefariki sio kweli, nimeongea naye kama dk ishirini zilizopita." "Dk. Anasema kwa sasa ukimuona utashangaa maana amepata nafuu ajabu."
Moani yangu: Wana JF, Mwakyembe ni binadamu na kama kiumbe yeyote hawezi kuishi milele duniani, lakini hiyo si sababu ya kumzushia mtu mauti angali hai. Wale wote wanaofanya hivyo kwa nia mbaya wajue hakuna aliye juu ya Mwenyezi Mungu na kwamba kila nafsi itaonja mauti na tumekuja kwa udong na tutarudi kwa udongo. Taarifa za msiba hazipaswi kuwa hisia bali kutoka kwenye vyanzo mahsusi.
Ee! Wadau, huyu siyo yule kuchi-kuchi aliyekuwa nanihii kule Igunga akabwaga manyanga? Mzee nasikia unakula bata tu ughaibuni! Ishaalah, JF wanatuunganisha.
Taifa halijengwi na wanafiki kama Mwakyembe.Get well soon Dr. H.M
Bado tunakuhitaji katika shughuli za ujenzi wa Taifa
"Dk. Anasema kwa sasa ukimuona utashangaa maana amepata nafuu ajabu." Praise the Lord!
Kwa nini aliisoma nusu report ya Richmond? . Shame on him.
katika siku za karibuni, kumekua na watu kadhaa ambao wamekua wakimzulia kifo naibu waziri wa ujenzi na mbunge wa kyela, mpambanaji dk. Harrison mwakyembe. Baada ya taarifa hizo, watu wa karibu na mwanasiasa huyo ambaye ugonjwa wake umehusishwa na madhara yatokanayo na sumu, wamezungumza naye mara kadhaa jana na leo na kubaini kama ni mzima na afya yake inazidi kuimarika na kuwa bora zaidi ya siku anakwenda india kwa matibabu. Mmoja wa aliyezungumza naye alisema;
"kuna post imetumwa jamii forums kwamba dr mwakyembe amefariki sio kweli, nimeongea naye kama dk ishirini zilizopita." "dk. Anasema kwa sasa ukimuona utashangaa maana amepata nafuu ajabu."
moani yangu: Wana jf, mwakyembe ni binadamu na kama kiumbe yeyote hawezi kuishi milele duniani, lakini hiyo si sababu ya kumzushia mtu mauti angali hai. Wale wote wanaofanya hivyo kwa nia mbaya wajue hakuna aliye juu ya mwenyezi mungu na kwamba kila nafsi itaonja mauti na tumekuja kwa udong na tutarudi kwa udongo. Taarifa za msiba hazipaswi kuwa hisia bali kutoka kwenye vyanzo mahsusi.
Katika siku za karibuni, kumekua na watu kadhaa ambao wamekua wakimzulia KIFO Naibu Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Kyela, mpambanaji Dk. Harrison Mwakyembe. Baada ya taarifa hizo, watu wa karibu na mwanasiasa huyo ambaye ugonjwa wake umehusishwa na madhara yatokanayo na sumu, wamezungumza naye mara kadhaa jana na leo na kubaini kama ni mzima na afya yake inazidi kuimarika na kuwa bora zaidi ya siku anakwenda India kwa matibabu. Mmoja wa aliyezungumza naye alisema;
"Kuna post imetumwa jamii forums kwamba dr mwakyembe amefariki sio kweli, nimeongea naye kama dk ishirini zilizopita." "Dk. Anasema kwa sasa ukimuona utashangaa maana amepata nafuu ajabu."
Moani yangu: Wana JF, Mwakyembe ni binadamu na kama kiumbe yeyote hawezi kuishi milele duniani, lakini hiyo si sababu ya kumzushia mtu mauti angali hai. Wale wote wanaofanya hivyo kwa nia mbaya wajue hakuna aliye juu ya Mwenyezi Mungu na kwamba kila nafsi itaonja mauti na tumekuja kwa udong na tutarudi kwa udongo. Taarifa za msiba hazipaswi kuwa hisia bali kutoka kwenye vyanzo mahsusi.
Halisi asante kwa hili, wito kwa wana jf wa zamani, irudisheni ile jf tuliyoikuta enzi hizo na ndio jf baadhi yetu tuliojiunga nayo!.