Mwakyembe apuuza data za JamiiForums!

Status
Not open for further replies.

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
114
Akijibu swali la Wenje, Mwakyembe amesema kwamba taarifa zake si za kweli, "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums."

Tujiulize, data za uwongo au uzushi ni hizi?

https://www.jamiiforums.com/interna...eased-obsolete-aircraft-for-air-tanzania.html

Naomba nikusahihishe ili kuondoa upotoshaji. Mwakyembe hajatamka: "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums", bali ametamka:

"...hilo ndio tatizo la kutegemea sana JamiiForums"; binafsi sioni ubaya wa kauli hii kwani mbali ya kupata habari JF au chanzo kingine chochote, ni vizuri to verify na vyanzo vingine kabla haujawa na uhakika na unachokisema. Vinginevyo Dr. Mwakyembe ni dhahiri anaheshimu sana JF kama chombo cha habari na hii ilidhihirika wakati ule anaugua.

Mjadala huu umefungwa; fuatilia mjadala weny data hapa - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mzo-ya-kutoa-bandari-ya-mtwara-haya-hapa.html
 
mh mwakyembe ameikejeli JF wakati akijibu swali la Wenje.
Amesema ukitegemea sana JF unaweza kuwa na hbr ambazo uhakika ni mushikeri
 
Ni pale alipopuuza taarifa za bandari ya mtwara kupewa kampuni ya uingereza ku-compensate gharama zilizotumika kutengeneza ndege-ATCL na kuwaambia wabunge kutokuamini taarifa za jamii forum
 
Akimjibu Mh. Wenje kuhusu uwepo wa mpango wa kuwapatia wageni bandari ya Mtwara kw fidia ya deni la serikali Waziri Mwakembe alikanusha kata kata kuwepo kwa mpango huo na akaongeza kuwa "Taarifa kama hizi ndiyo matokeao ya kufuatilia habari za Jamii Forum".

Wana jamii tunakubaliana na hilo kwamba hapa JF ni mahali pa kupika taarifa za uwongo wakazitumia wabunge?
 
Hajui atendalo, angejua kuwa kupona kwake kuna mkono wa JF angeishukuru na kuichangia mara dufu!

Jf ndio inayofichua maovu ya nchi hii na ndio kisima cha hekima kwa wanasia machipuko, na zaidi jf ndio iliyofichua njama za jaribio la yeye kuuawa na kila aina ya hila dhidi yake lakini leo anaiona si chochote?

Aje ajiunge huko tumpige msasa huyo!
 
Mojawapo wa watu wenye dharau na majigambo Tanzania hii ni Mwakyembe. Ni mchapakazi lakini anatakiwa kujirekebisha katika hili. Apunguze dharau kwa watu.

Nakumbuka kuna kipindi aliitisha mkutano na waandisi wa habari kabla hajawa waziri, lol, baadhi yao walimkoma jinsi alivyokuwa anawadhihaki kuwa hawajaenda shule ndo maana hawajuwi chochote.
 
mh mwakyembe ameikejeli JF wakati akijibu swali la Wenje.
Amesema ukitegemea sana JF unaweza kuwa na hbr ambazo uhakika ni mushikeri

nimesikia aisee, kwajuwa wanafuatilia michango ya humu wakuu tuendelee kushusha nondo!!!!!!!!!!!
 
Hajui atendalo, angejua kuwa kupona kwake kuna mkono wa JF angeishukuru na kuichangia mara dufu!

Jf ndio iliyofichua njama zote za jaribio la yeye kuuawa na kila aina ya hila dhidi yake lakini leo anaiona si chochote?

Aje ajiunge huko tumpige msasa huyo!

Hakika amenikera sana kwa matusi yake dhidi ya JF.Anapaswa kuomba radhi.
 
Sema dili ligoma au lilimkalia vibaya mtangulizi wake au watu walitengeneza kashfa kama kawaida ili kumpaka matope mtangulizi wake!!
 
ajui kwamba hata kusalimika kwake kukolimbwa kulisaidiwa na jf baada ya jf kuchana live move yote ya kumkolimba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom