Mwakyembe aipasua serikali; Pinda amtaka azungumzie hali yake!

Mwakyembe sio sumu tu inayo msumbua hata kurogwa inawezekana!!
Hakuwa mtu wakulikalia kimya lile....na akiendelea kukaa kimya, wanammaliza kabisa hata miezi miwili haiishi!! mie sio mtabiri lkn nikungaunga mambo nalipata hili.!! ....
 
Mwakyembe sio sumu tu inayo msumbua hata kurogwa inawezekana!!Hakuwa mtu wakulikalia kimya lile....na akiendelea kukaa kimya, wanammaliza kabisa hata miezi miwili haiishi!! mie sio mtabiri lkn nikungaunga mambo nalipata hili.!! ....
 
"Hili la Mwakyembe kwamba anaumwa ugonjwa gani, siwezi kuuzungumzia. Mimi nadhani tumwachie aseme mwenyewe na kama si yeye mwenyewe, basi hata madaktari wake wanaweza kusema, lakini serikali hatuwezi kuusemea ugonjwa wake, kwa sababu ni kinyume cha maadili," alisema Waziri Mkuu Pinda.



Aiseee!! sasa kama hivyo mtawezaje toa maamuzi kuhusu mtakabali wake wa kazi kama mumekwisha vaa koti la mvua isiwanyeshee?? hao madaktari aliwatafuta yeye mhusika pamoja na hospitali ya matibabu. unatupa hela zako za matibabu bila kuhitaji yatakayojili!!


Pinda alisema wapo wabunge ambao mwisho wa mwezi hawabaki na kitu, kwani fedha zao zote za mishahara zimekatwa kulipia madeni waliyoingia kwa ajili ya kusaidia majimbo yao.
Aiseee!! ndo hao wabunge walioshutumiwa wanakwepa kuwalipa posho madereva wao na leo tunaambiwa wana fadhili familia za majimbo yao kama vile wapiga kura wao ni omba omba - Matusi hayo!! mambo hajanyooka hayo na hayatanyooka hayo.
 
Source za vijiweni zinasema walikuja wataalamu wa KGB toka Urusi kufundisha umafia huo, na walichofanya ni kuweka aina ya sumu inayoitwa Podium, ktk kitambaa cha kufutia vumbi ktk moja ya hotel aliyokuwepo huyo mheshimiwa, na wanasema alitumia kitambaa hicho only once na kama vile akashtuka wakati amekwisha kitumia na Podium ikawa imekwisha ingina ndani kwa kuvuta hewa na ktk ngozi. Narudia ni source za vijiweni. Sasa kama ni reliable mie sijui. Ila nadhani wakati umefika wa Mh kuacha unafiki na kuweka hadharani watanzania tujue ni nini kilichojiri na ni nani ni wahanga wa hili. Yeye ni Public figure na anaishi kwa kodi zetu, kwa hiyo hana budi kuwajibika kwetu.
 
Jamaa ni usalama wa taifa hivyo kila kitu kwake ni siri!

Nakubaliana na wewe... Jamaa alikuwa Mwandishi wa Mwl. Nyerere kwa Miaka Mingi tu hatukumsikia Jina laka Mpaka pale Mkapa alipostaafu... kwahiyo alijitokeza baada ya Mkapa mda wake kuisha kwa Maana ya kuwa yuko tayari kushika Madaraka ndani ya serikali ya CCM na Jina lake kutangazwa... sababu alisema ni Mkapa ndie aliyemwambia akagombee Ubunge... Mmmm
 
Mtu katumwa India ili kuandaa utatibu wa kupotosha ukweli wa ugonjwa wa Mwakyembe, na sitaona ajabu wahindi waweza andaa report nyingine fake. Sioni sababu kwanini Gazeti la Rost hiz tamu linataka kufuatilia ugonjwa wa Mwakyembe, mwana wa Mbeya wakati hana hata undugu wowote na watu wa Iran. Time will tell, Mwakyembe kama vipi lipua kabla hawajaja na report fake
 
Hii ni ajabu kwa kuwa watu walioenda india ni wengi na hawakuwa na mbwembwe za Mwakyembe...anaetaka kutumia ugonjwa wake ni kazi ya kupandia kisiasa na ku adhibu wenzie....sasa Rai ni wahuni wenzie na wanaongozwa na muhuni Hussein Bashir....kama walivyotoaga mara ya kwanza kutoka katika makabati ya Mwema waraka wa Mwak kidai anataka kuuwawa na sasa wako tayari kutoa copy ya taarifa ya kuumwa mwakyembe bila kuyumba wala kutetemeka......kweli kuwa na CEO muhuni kuna raha zake hata kama kampuni inafilisika
 
Mimi ni mmoja ya watu wanaoshangaa magazeti na watu wanaoushupalia ugonjwa wa mwakyembe, mtu mwenyewe yupo hapa ila anusubiria ugonjwa wake mwenyewe eti wamsemee wengine, hii haiingii akilini hata kidogo. mbona zitto alisema anachoumwa hata kitandani akiwa hajaweza kuinuka? huyu mwakyembe yy anasubiri nn? au anaona raha magazeti yanavyomwandika kila siku? mawaziri wengine wanaboa sana

Tatizo ni sisi wenyewe. Gazeti la Mwananchi lilishaelezea ugonjwa wa Mwakyembe toka siku aondoke kwenda India. Kinachotafutwa sasa anakijua zaidi RA na EL.
 
Mh.Mwanamkulima alikuwa ikulu wakati Mh Mkapa aliposema ugonjwa wa mwl JK Nyerere swali je naye alikiuka sheria ?
 
Tatizo la Waziri Mkuu Viongozi wote walioko Madarakani Mpaka Wakuu wa Wilaya wa Serikali hii ni Walaji
 
nimedharau sana mwakyembe hata wanaodai eti ni 'kichwa', nadhani wanakosea sana. Mwakyembe ni ***** kuliko mtu mwingine yeyote msomi ndani ya ccm
 
Naye Mwakyembe alikosea sana kwenye ripoti ya Richmond pale aliposema mambo mengine wameyahifadhi kunusuru chama, sasa kinachompata yeye ndio kile kile cha kunusuru chama... RIP Mwakyembe kwani umeingia choo chao cha kike na hutoki!


Dah..hajafa jamani..he's still alive.....
 
Mimi nachokiana hapa ni blaablaa za siasa uchwara za ccm,,akishikilia kuwa wabunge wanakatwa mshahara wao kusaidia wanajimbo ni UONGO hata mtoto mdogo hakubali.Kuhusu afya ya mwakyembe kama hataki kuzungumzia shauri yake atakufa nalo ndo siasa za ccm kuuana.Ifikie mahali Pinda ajitambue mana anatumika kama roboti ishu ya kasaini posho ni rais ayeenda kuzurura uswiss ndo anahusika hasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom