Mwakiembe ameanza kusafisha shirika la ATCL

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
images
images
images

Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe ameanza kutema cheche zake kwa kuanza kusafisha shirika la ATCL kwa kuwafukuza kazi Mkurugenzi Mkuu Bwana Chizi na Mhasibu wa shirika na baadhi ya watendaji.

ameanza kuleta ukabila..hakuna anchosafisha mbona yeye mwenyewe hajajisafisha na lile kampuni lake la kufua umeme wa upepo!!!... Yaani anachofanya ni kuleta ukabila ...staki maswali nimemaliza....
 
Mkuu fafanua kauli yako.
 
ameanza kuleta ukabila..hakuna anchosafisha mbona yeye mwenyewe hajajisafisha na lile kampuni lake la kufua umeme wa upepo!!!... Yaani anachofanya ni kuleta ukabila ...staki maswali nimemaliza....

Kwa hiyo naye Kigoda kapeleka ukabila TBS? Fikiria kama great thinker, leta hoja sio upuuzi.
 
ameanza kuleta ukabila..hakuna anchosafisha mbona yeye mwenyewe hajajisafisha na lile kampuni lake la kufua umeme wa upepo!!!... Yaani anachofanya ni kuleta ukabila ...staki maswali nimemaliza....

So kama anafaa na anaweza kazi asipewe kazi kwa kua ni kabila moja?,
Tuwe tunajaji watu kwa kile wanachofanya na sio kwa ukabila. Alafu inaonekana wewe ni mkabila sana!. Tuwaombee mema wafanye kazi na tuje kuwajaji kwa kile kitakachotokea. Utajiskiaje kama combination hiyo itainua shirika?,
"Dhambia ya ubaguzi"
 
lusajo lazaro mwanjisi ameteuliwa na arison mwakyembe, tusubiri huyu mwakyembe anaanza hivyo...yale ya bima yanakuja ATCL
 
Hoja ni kufanyia kazi mapendekezo ya CAG wala sio kufukuza kazi mtu, shirika livunjwe kuneemesha wenye aslimia kumi (ten percent) Precision Air na Flight 540?
Katibu Mkuu nae awajibishwe? Sio Nundu na Mfutakambaz tu?
 
Ommy Chambos in action !
 
KWa maoni yangu hawa wa sasa walikuwa ni viongozi madhubuti na matunda yalianza kuonekana hasa ukizingatia hali ya kifedha waliyoikuta walipoingia Agosti mwaka jana.

Mh Mwayembe pamoja na kwamba unasifiwa sana toka kipidi kile cha Ripoti ya Richmond uliyoi edit ili kumlinda kiongozi mkubwa sana ,jiangalie manake mwishoni waweza jikuta unanufaisha lile shirika la ndege la wazee flani wawili watu wa Rombo
 
acha hasira zakuku maana kuku anakasirika sasahivi ukimfukuza baada yamda kashau nawewe ngoja utayaona yamwakyembe mazuri utasahau kama kuku na utakuwa wakwanza kusifia hatuangalii ukabila bali niufanisi
 
KWa maoni yangu hawa wa sasa walikuwa ni viongozi madhubuti na matunda yalianza kuonekana hasa ukizingatia hali ya kifedha waliyoikuta walipoingia Agosti mwaka jana.

Mh Mwayembe pamoja na kwamba unasifiwa sana toka kipidi kile cha Ripoti ya Richmond uliyoi edit ili kumlinda kiongozi mkubwa sana ,jiangalie manake mwishoni waweza jikuta unanufaisha lile shirika la ndege la wazee flani wawili watu wa Rombo

Tunatoa majumuisho ya juu juu tu bila kujua kiini hasa cha tatizo ambalo huyu waziri ameliona. Tunakumbuka waziri mmoja mwingike aliongea aliyoyaona ofisini ni aibu hata kuyatamka hadharani. Mwacheni afanye kazi yake kwanza kuliweka sawa shirika, vinginevyo hatujui ukweli ya aliyo yakuta ofisini alipoingia.
 
ameanza kuleta ukabila..hakuna anchosafisha mbona yeye mwenyewe hajajisafisha na lile kampuni lake la kufua umeme wa upepo!!!... Yaani anachofanya ni kuleta ukabila ...staki maswali nimemaliza....

Tusiulize maswali...tuko kikosi namba ngapi cha jeshi? Amri amri ziko jeshini zaidi. Anyway, nchi hii kila unachofanya kinasemwa tofauti.... Udini,ukabila, mtaanza ukanda. What a shit!
 
Back
Top Bottom