MWAKALELI ENTERPRISE, manufacturers of metal furniture & Wood furniture

Feb 17, 2014
37
3
Jipatie samani za chuma na mbao zenye ubora madhubuti na zakizarendo. Kutoka MWAKALELI ENTERPRISES. mf. Vitanda vya chuma,sofa set za chuma na mbao,makabati ya vyumbani na jikoni,mageti,milango ya chuma na mbao.
Waweza tembelea Facebook page zetu;
Baez Enterprises
Mwakaleli Enterprises
Tunapatikana Keko, bora/Dar es salaam.Tanzania.
 
Weka na picha itakuwa rahisi kwa watu kuona kazi zako na itakusaidia na wewe kupata wateja kwa urahisi zaidi
 
Msijali wadau.naomba mtembelee baeze enterprises page on Facebook /Mwakaleli enterprises page on Facebook . Asanteni
 
Asanteni wadau.
Nashkuru kwa ushauri.
Bidhaa zetu zinategemea na Mteja anaitaji matirio zip katika kitu anacho hitaji
 
ImageUploadedByJamiiForums1392763512.994430.jpg ImageUploadedByJamiiForums1392763583.291689.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom