Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,051
- 653
- Thread starter
- #41
ni pm nikupe ushauri unaonekana una matatizo makubwa sana
Wengi wanakuwa wananiambia ni wa PM hapa kutokana na ugeni wa kutumia hii JF inakuwa si lugha ndogo hiyo plz nisionekane Mshamba ila bora useme ukweli ili uweze kusaidiwa.....hiyo KuPM ndio nini? na mambo mengi nitaendelea kujifunza ili nisijekuonekana kama msumbufu kwa ninyi wakongo kwani nategemea sana msaada wenu ili nami siku moja niwaelekeze wenzangu!