Mwaka mzima kavukavu!

kwa kweli nimefurahi kusikia kuwa kuna sehemu mabinti wanadhibitiwa kiasi cha mtu kukosa hata wa kuchakachua kwa mwaka mzima.
natamani siku nikiwa mama niishi ktk ulimwengu kama huo na kabinti kangu.
kuhusu swali lako nadhani hakuna madhara,tafuta kuna thread ya Rev. masa kuna mtu alimuombea ushauri kama wako,yeye alikaa sijui miaka saba bila kumjua mwanamke ila wengi walidi hakuna madhara ya kiafya.

Poa hata mimi mwanzo nilizani kama mazaha kwani nilikuja na vijitabia vya kuchakachua vitoto vya watu lakini mwaka unatimia sasa nimeishia kuwaona tu kwa mbali au sijui kwakuwa wao ni weupe na mimi ni hii ngozi yetu ya laana? lakini hata wao sioni kama ilivyo kwetu Bongo kufukuzia Watoto wa watu kwenye vichochoro usiku na mchana hata Bila aibu! Nimejifunza mengi kwakweli!

Epuka kupiga puli na kuangalia picha za ngono, hizo ndio zitakuaribu kabisaaa!
 
mmmmhhhhh bwana hakuna cha madhara wala nini ...
hujaona ile thread ambayo bibi anamiaka 107 na hajawahi fanya maishani mwaka mwote...

duuuuhhh ndugu yangu inabidi unifumulie kidogo uliisheje mwaka bila ...................???
najua unaweza ukawa unaji keep busy with other things....
lakini mwaka ni mwingi sana muheshimiwa ...lol
 
Hiyo mbona poa tuuu, hilo jambo sio lazima, zaidi sana hapo ndiyo charge zinaongezeka mara mia!!!!!!!
 
Ni muda wa mwaka mmoja sasa sijaweza kukutana na mwanamke hii inatokana na hali halisi na sehemu nilipo mila na Desturi zao ni kali. Siku za kwanza nilidhani nitapata hata demu mmoja wa kuweza kuchakachua! Lakini mwaka sasa unapita bila bila.

Naomba msaada kama kuna mtaalamu ninaweza kuwa mzima kama mwanzo hofu yangu kitu chochote usipokitumia basi uwezo wake wa kufanya kazi unapungua.Sasa kama kuna mtaalamu naomba anishauri nitakuwa bomba au ndio imekula kwangu?

Hebu fanya uoe achana na mambo ya kuchakachua.

Shukuru Mungu possibility ya kuwa affected na HIV na kuugua AIDS ni mdogo kwako.
 
Ni muda wa mwaka mmoja sasa sijaweza kukutana na mwanamke hii inatokana na hali halisi na sehemu nilipo mila na Desturi zao ni kali. Siku za kwanza nilidhani nitapata hata demu mmoja wa kuweza kuchakachua! Lakini mwaka sasa unapita bila bila.

Naomba msaada kama kuna mtaalamu ninaweza kuwa mzima kama mwanzo hofu yangu kitu chochote usipokitumia basi uwezo wake wa kufanya kazi unapungua.Sasa kama kuna mtaalamu naomba anishauri nitakuwa bomba au ndio imekula kwangu?

kinaota kutu pia hahaaaa. Uko uarabuni?
 
Ndugu uliyedai Scandinavia wako "reserved" kivipi wakati wenyewe huchakachuliana kisimamiecho kwenye mabustani na subways kavukavu? Labda ni mashambani lakini mijini hakuna cha "reserved" wala nini. Suala la ubaguzi linachangia kwa kiasi kikubwa. Maana wanawake wanaogopa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na watu weusi kwakuwa wanaweza hata kutengwa na jamaa na ndugu zao...Akitokea mmoja akajitoa muhanga ndio inakuwa bahati....
 
wa kona baa hawahitaji skill yoyote we na pesa yako tu......
 
Hayo ndio yaliyopo huku kwani hata kaka zao wana wivu Balaa.
Ndugu uliyedai Scandinavia wako "reserved" kivipi wakati wenyewe huchakachuliana kisimamiecho kwenye mabustani na subways kavukavu? Labda ni mashambani lakini mijini hakuna cha "reserved" wala nini. Suala la ubaguzi linachangia kwa kiasi kikubwa. Maana wanawake wanaogopa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na watu weusi kwakuwa wanaweza hata kutengwa na jamaa na ndugu zao...Akitokea mmoja akajitoa muhanga ndio inakuwa bahati....
 
Nawashukuru sana kwa michango yenu nitajaribu na kutekeleza yale niliyoyapata hakika kuna vitu humu nimevipenda ila wale walionitajia maeneo ya Kona Bar, na sehemu kama za KIMBOKA pale Buguruni, Mrina pale Arusha, Chako ni Chako pale Dodoma, Kaumba pale Morogoro mmenikumbusha mbali kwani maeneo hayo hayana haja ya kutumia nguvu wala kutongoza.
 
Back
Top Bottom