jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,780
....mzee, hili nadhani ni ngumu kumesa kwa wanaume wengi tofauti na kina mama, ...ila ukimletea mke mtoto baada ya ndoa, huo moto wake kuuzima labda aje ziraili!
Mkuu hapa umemaliza kila kitu.....
Watoto waliopatikana kabla ya ndoa….Hili ni gumu sana especially kwa wanawake kuliko kwa wanume….Linachangiaje ku-destabilize ndoa??...Naomba michango ya wadau!!
Babuu hili suala wajukuu zako wengine tuliowahi kucheza mechi za mchangani na linatupa mtihani hadi kufikia kuapa kuwa labda ndoa itafuata wakati hawa wakina Malaika weshakuwa watu wazima kabisa.....